Mr simple M
JF-Expert Member
- Sep 18, 2020
- 2,236
- 4,779
Naungana na mleta mabadiliko ni kitu kizuri
Maboresho yafanyike zaidi
Maboresho yafanyike zaidi
Dah nimecheka 🤣🤣Blackhatworld ina watembeleaji 3M kwa mwezi - hapa ndipo utakuta wajanja wote(website developers)/ SEO
Jamiiforums ina watembeleji 1.5M kwa mwezi , hapa utakuta nyuzi zote za kipuuzi : mbususu , chadema vs ccm ,
Hapo nani wakumuiga mwingine
Hawawezi wakafanya hivyo kabisaHuu uzi wakiufuta basi ntaamini ni kweli
kitu unachotakiwa kujua ni kwamba JF sio technology company, ni media , kundi unalowaweka unakosea, wao ni media zaidiSasa ubaya wa kununua code, Ni hauto jiongeza
Mfano JF , ingetakiwa iwe tayari na streaming site ndani au short videos hii ingeongeza traffic zaidi ya hapa.
JF sio forum tu ,
kutokana na visitor wake jinsi wanavyo itumia
Kwa hiyo ingetakiwa iwe Forum , Short video(Tiktok) na streaming (YouTube)
Pia kwenye swala la location - mtu akiwa Kenya au Uganda aone content za nchi yake
mtoa mada ungekua upo kwenye industry ya tech usingeropoka hivi na hata kama upo basi wewe mweupe sana (whacky)AWS ina gharama kubwa kutokana na ulinzi
We jamii forum ukaiweke AWS ina kitu gani cha maana - Simba vs Yanga au CCM vs Chadema au Mbususu za malaya
Sawa, wewe upo kwenye industry ya tech.mtoa mada ungekua upo kwenye industry ya tech usingeropoka hivi na hata kama upo basi wewe mweupe sana (whacky)
You got a point.Mabadiliko
Rudi kwenye nilichoandika mwanzo , kama hutokuta neno : kununua source codeHaya si mambo ya kubabaisha mkuu,haya ni masuala ya kitaalamu zaidi na ndo maana uzi wako haujafutwa.
Wewe ungeuliza ueleweshwe na si kushangaa.
Tukuka kama bunjumbura 😅😅😅JamiiForums iwe imekopiwa huko au vyovyote vile ila Mimi kama Balozi wao tukuka nasema ( nakuambia ) tutaendelea Kuupenda huu Mtandao mpaka pale Dunia itakapopinduka.
Long live JamiiForums Website
Long live JamiiForums Founder Maxence Melo
Long live Members wote wa JamiiForums
We jamaa mshamba kweli kwa mfano wewe na mwenzio mmetengeneza website mbili tofauti ila mkatumia website builder apps moja mfano WordPress then mkainstall themes na plugins zinazofanana kwa website zenu zina dhumuni moja basi zitafanana tu.Kwa tafsiri yako.
Nikimcheki Melo - huwa namwona kama role model wa Tech TZ.
Kwa sababu ameamua kutaka umaarufu kwa kupitia Tech -
Sasa akianza kutumia source code za mtu mwingine tena kwa 99%
Inasikitisha
Hata icons , layout vyote hajabadilisha - ka-upload source code kama ilivyo
Skia mjanja,We jamaa mshamba kweli kwa mfano wewe na mwenzio mmetengeneza website mbili tofauti ila mkatumia website builder apps moja mfano WordPress then mkainstall themes na plugins zinazofanana kwa website zenu zina dhumuni moja basi zitafanana tu.
Mimi kilochonipelekea kuandika vile ni yale maneno "mambo ya ku-copy na kupest" maana hapo baada ya kuuliza akaja tena na hayo.Rudi kwenye nilichoandika mwanzo , kama hutokuta neno : kununua source
Yawezekana wewe ndo hujui kinachoongelewa
Ndio ,Mimi kilochonipelekea kuandika vile ni yale maneno "mambo ya ku-copy na kupest" maana hapo baada ya kuuliza akaja tena na hayo.
So,nimeona ni kama hana uhakika na alichouliza
If it's copy and paste what are you waiting to leave our beautiful forum?ANGALIA PICHA CHINI , KABLA YA KUSOMA
Jamiiforum mbona ni copy na paste ya forum blackhatworld .com
Haya si ndo ya mambo ya kununua source code au ku-download Nulled script?
Kama ndiyo wapo wapi wasomi wa bongo?
Haya ya mambo za ku-copy na ku-paste sio mazuri kwa sababu mwisho wa siku unashindwa hata kuongeza feature ( unaishia ku-customize )
Ifike mahali Tanzania izalishe programmer watakaoshinda na watu kama wa Kenya , Vietnam , Russia , USA , India
View attachment 2585011
View attachment 2585012
View attachment 2585013
View attachment 2585015
View attachment 2585016
View attachment 2585018
Ulinishinikiza kujiunga?If it's copy and paste what are you waiting to leave our beautiful forum?
Leave us please!.