PICHA: Siamini ninachokiona, nimacho yangu au...

Inategemea sasa na lengo la wamiliki na mtumiaji anayelengwa, kwani bhw inayo video player

Kwa nchi za Afrika , lazima uweke Video player kwa sababu hii
  • Browser nyingi hazijawa updated / kutumia browser zenye uwezo mdogo
  • Kumpa user option ya kushusha quality au kuongeza quality : kutokana na gharama za MB
 
mtoa mada una tabia za wabongo wengi, mnapenda kutoa kasoro bila kuzingatia lengo la teknolojia ni nini, JF lengo kubwa ni platform ya watu kujadili mada mbalimbali, then ikafuatia miundombinu ya kuwezesha, hapa kulikua na options either custom made au already made,

- Sasa huwezi kujitutumua kutengeneza kitu ambacho tayari kipo ambacho kinakidhi mahitaji yako, na hii ina faida katika kuokoa muda, kiuchumi na pia kiuendeshaji ( kutengeneza software sio kama kujenga nyumba kwamba ukijenga umemaliza!), kwanza inachukua muda, kuna maintenance, pia development kila baada ya muda, so kama hapa Xenoforo wanafanya maintenance wao wewe ni kulipia tuu!, hakuna headache ya security sijui maintenance, vyote wanafanya wao!
 
Ni sawa na kutumia blogspot au WordPress au CodeCanyon .
Huo Ni udhaifu

Ni bora ufanye donation ya code , site uijaze vitu vya uhakika
Yani tokea miaka ya 2000 hadi leo site haina video player ,

Una-upload source code tu
Kutengeneza forum from scratch yenye feature kama jf inaweza zidi bilioni moja. Mpaka hayo makampuni makubwa yenye matrilioni ya mitaji wanatumia ready made softwares.
 
Kwa nchi za Afrika , lazima uweke Video player kwa sababu hii
  • Browser nyingi hazijawa updated / kutumia browser zenye uwezo mdogo
  • Kumpa user option ya kushusha quality au kuongeza quality : kutokana na gharama za MB
Video zinajaza server, itacost mamilioni ya hela kila mwezi kuhost video za watu humu, ndio maana forum zina uwezo wa kudisplay video za platform nyengine kama youtube, unaweza link video nyingi tu hapa jf mtu akaplay hapa hapa na wala asijue kama video haipo hosted na JF.
 
ANGALIA PICHA CHINI , KABLA YA KUSOMA
Jamiiforum mbona ni copy na paste ya forum blackhatworld .com
Haya si ndo ya mambo ya kununua source code au ku-download Nulled script?
Kama ndiyo wapo wapi wasomi wa bongo?
Haya ya mambo za ku-copy na ku-paste sio mazuri kwa sababu mwisho wa siku unashindwa hata kuongeza feature ( unaishia ku-customize )
Ifike mahali Tanzania izalishe programmer watakaoshinda na watu kama wa Kenya , Vietnam , Russia , USA , India

View attachment 2585011

View attachment 2585012

View attachment 2585013
View attachment 2585015

View attachment 2585016
View attachment 2585018
Inabidi ujue kuwa hizi ni softwares za forums unanunua unabadilisha unavyotaka. Zipo forums kibao zinafanana na hii ambazo zimetengenezwa kwa vbulletin na Xnefero. Jihabarishe kabla ya kuanza sema kitu. Hata wewe ukitaka unanunua vbulletin na Xnefero.
 
ANGALIA PICHA CHINI , KABLA YA KUSOMA
Jamiiforum mbona ni copy na paste ya forum blackhatworld .com
Haya si ndo ya mambo ya kununua source code au ku-download Nulled script?
Kama ndiyo wapo wapi wasomi wa bongo?
Haya ya mambo za ku-copy na ku-paste sio mazuri kwa sababu mwisho wa siku unashindwa hata kuongeza feature ( unaishia ku-customize )
Ifike mahali Tanzania izalishe programmer watakaoshinda na watu kama wa Kenya , Vietnam , Russia , USA , India

View attachment 2585011

View attachment 2585012

View attachment 2585013
View attachment 2585015

View attachment 2585016
View attachment 2585018

Kwanini wewe usiwe programmer? Tatizo la wabongo ni kulalamika kwanini mwingine hajafanya.
 
ANGALIA PICHA CHINI , KABLA YA KUSOMA
Jamiiforum mbona ni copy na paste ya forum blackhatworld .com
Haya si ndo ya mambo ya kununua source code au ku-download Nulled script?
Kama ndiyo wapo wapi wasomi wa bongo?
Haya ya mambo za ku-copy na ku-paste sio mazuri kwa sababu mwisho wa siku unashindwa hata kuongeza feature ( unaishia ku-customize )
Ifike mahali Tanzania izalishe programmer watakaoshinda na watu kama wa Kenya , Vietnam , Russia , USA , India

View attachment 2585011

View attachment 2585012

View attachment 2585013
View attachment 2585015

View attachment 2585016
View attachment 2585018
Hizi ni template mkuu kila mtu ana customize anavyotaka kuna mtu ana site yake zinafanana sana na jf kasoro rangi tu alishwahi kuipost hum
 
Kutengeneza forum from scratch yenye feature kama jf inaweza zidi bilioni moja. Mpaka hayo makampuni makubwa yenye matrilioni ya mitaji wanatumia ready made softwares.
Bilioni moja ya nini?
Kulipia host? Domain? Au nini?
Budget si juu $ 6000
 
mtoa mada una tabia za wabongo wengi, mnapenda kutoa kasoro bila kuzingatia lengo la teknolojia ni nini, JF lengo kubwa ni platform ya watu kujadili mada mbalimbali, then ikafuatia miundombinu ya kuwezesha, hapa kulikua na options either custom made au already made,

- Sasa huwezi kujitutumua kutengeneza kitu ambacho tayari kipo ambacho kinakidhi mahitaji yako, na hii ina faida katika kuokoa muda, kiuchumi na pia kiuendeshaji ( kutengeneza software sio kama kujenga nyumba kwamba ukijenga umemaliza!), kwanza inachukua muda, kuna maintenance, pia development kila baada ya muda, so kama hapa Xenoforo wanafanya maintenance wao wewe ni kulipia tuu!, hakuna headache ya security sijui maintenance, vyote wanafanya wao!
Sasa ubaya wa kununua code, Ni hauto jiongeza
Mfano JF , ingetakiwa iwe tayari na streaming site ndani au short videos hii ingeongeza traffic zaidi ya hapa.

JF sio forum tu ,
kutokana na visitor wake jinsi wanavyo itumia

Kwa hiyo ingetakiwa iwe Forum , Short video(Tiktok) na streaming (YouTube)

Pia kwenye swala la location - mtu akiwa Kenya au Uganda aone content za nchi yake
 
Blackhatworld ina watembeleaji 3M kwa mwezi - hapa ndipo utakuta wajanja wote(website developers)/ SEO

Jamiiforums ina watembeleji 1.5M kwa mwezi , hapa utakuta nyuzi zote za kipuuzi : mbususu , chadema vs ccm ,

Hapo nani wakumuiga mwingine
Ulitaka tue jamii ya marekani au ulaya
 
Video zinajaza server, itacost mamilioni ya hela kila mwezi kuhost video za watu humu, ndio maana forum zina uwezo wa kudisplay video za platform nyengine kama youtube, unaweza link video nyingi tu hapa jf mtu akaplay hapa hapa na wala asijue kama video haipo hosted na JF.

Nimesema video player sio ku-upload

Pili , kwenye video za ku-upload . Si una uwezo ku-limit dakika
 
Back
Top Bottom