Picha: Rais wa Uganda, Yoweri Museveni akitoa heshima kwenye kaburi la Hayati Magufuli

Siku ile kichwa kilikuwa kwa kule sasa imekuwaje tena, anyways naona imani zimefanyakazi.

Mpeni salaam huyo Mheshimiwa M7.
 
Hakuna zawadi kubwa ambayo Mungu amewahi kuipatia Tanzania kama kutuondolea huu uchafu.Nakumbuka nilitoa sadaka ya kuteketeza kumshukuru huyu Mungu mkuu anaeishi na kutawala.
Walimu feki jamaa aliwatumbulia mbali, yani walio faulu wapo halafu nyinyi ma-failure ndo mfundishe watoto wetu? muwaambukize ujinga?
 
Back
Top Bottom