Picha: Rais wa Uganda, Yoweri Museveni akitoa heshima kwenye kaburi la Hayati Magufuli

Kaguta Museveni anapaswa amheshimu mwalimu zaidi huyo ndio aliwapa hifadhi enzi hizo hadi akasoma UDSM. Sio hao marafiki wa madeal na udikteta
 
Amelala hapo mwamba wa Africa tutakukumbuka daima milele,Acacia na barrick wanakukumbuka zaidi!


Mwamba wa Africa gani anayekimbia kuhudhuria mikutano ya kimataifa ??!!, mfano mkutano wa "UNGE"----- hukuwaona akina Mugabe walikuwa wakienda huko New york na wanawachapa za uso Mabeberu??!!, hao ndio miamba ya Africa.
 
Alishindwa kuja msibani Leo ndo kaja kuhani kaburi na korona ndo inapamba mora wimbi la nne .sasa
 
Mwamba wa Africa gani anayekimbia kuhudhuria mikutano ya kimataifa ??!!, mfano mkutano wa "UNGE"----- hukuwaona akina Mugabe walikuwa wakienda huko New york na wanawachapa za uso Mabeberu??!!, hao ndio miamba ya Africa.
Mugabe alibanwa kidogo ikafikia mpaka panadol kuipata uwe na bahati, polisi, wanajeshi wengi walivua magwanda na kukimbilia south Africa kwenda kuuza ma Apples, na wafanyakaz walikuwa Wana pokea mishaara kwenye viroba, akachapisha noti moja ya laki moja, halaf Una msifisia Mugabe?
 
Hakuna zawadi kubwa ambayo Mungu amewahi kuipatia Tanzania kama kutuondolea huu uchafu.Nakumbuka nilitoa sadaka ya kuteketeza kumshukuru huyu Mungu mkuu anaeishi na kutawala.
Na wewe utajisikiaje kama kunamtu anatoa hiyo sadaka ya kuteketeza upoteze kazi au ufe kabisa? Unadhani watu wanakupenda kama unavyo cheka nao. Achana na binadamu mkuu,heshi na kumuabudu Mungu pekee,achana na maisha ya binadamu usije kujivunia dhambi bure.
 
Back
Top Bottom