Picha: Rais wa Uganda, Yoweri Museveni akitoa heshima kwenye kaburi la Hayati Magufuli

kallenge

Member
Mar 5, 2021
98
125
Mwamba wa Africa gani anayekimbia kuhudhuria mikutano ya kimataifa ??!!, mfano mkutano wa "UNGE"----- hukuwaona akina Mugabe walikuwa wakienda huko New york na wanawachapa za uso Mabeberu??!!, hao ndio miamba ya Africa.
Kwahio Mama yako alivyo okota pochi barabarani saizi anahudhuria mikutano nakuhubili habari ya korona na bidhaa za viwandani kupanda bei mara dufu ndio nafuu kwako fala wewe
 

Trillion

JF-Expert Member
Apr 24, 2018
2,958
2,000
Magufuli maiti dadadeki,, chali, kwisha kabisa , kifo cha Mende..!
Mungu fundi sana, Allah kamzima huyu HAYAWANI .
 

kipara kipya

JF-Expert Member
May 2, 2016
10,355
2,000
Mwamba wa Africa gani anayekimbia kuhudhuria mikutano ya kimataifa ??!!, mfano mkutano wa "UNGE"----- hukuwaona akina Mugabe walikuwa wakienda huko New york na wanawachapa za uso Mabeberu??!!, hao ndio miamba ya Africa.
Ulimwengu ulimtambua bila ya kusafiri kokote ukiona wazungu wanakubeza ujue umewashika pabaya!
 

Behaviourist

JF-Expert Member
Apr 8, 2016
37,179
2,000
Daa! Mkuu youve gone too far ! Mungu atatuondoa wote kwa wakati ! He is dead basi !
Unaongea haya kwa sababu wewe siyo mtoto wake Ben Saaanane au azory gwanda au Alphonce Mawazo ambao waliuawa.Unaongea haya kwa sababu wewe siyo ndugu zake wale maiti zilizokuwa zinaokotwa kwenye fukwe za bahari na kwenye mito.

Unaongea haya kwa sababu wewe siyo ndugu zake wale jamaa waliouawa Zanzibar wakati wa uchaguzi mkuu.

Unaongea haya kwa sababu hujapoteza ndugu, jamaa na marafiki kwenye uchaguzi mkuu huku Bara.Unaongea haya kwa sababu huna ndugu aliekufa kwa Corona baada ya huyu mshenzi kupiga pini chanjo.

Unaongea haya kwa sababu wewe hukubambikiziwa kesi za mauaji pamoja na uhujumu uchumi wakati wa uchaguzi mkuu.
 

Vyura99tu

JF-Expert Member
Jan 14, 2017
355
500
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni akitoa heshima mbele ya kaburi la Hayati Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli, lililopo nyumbani kwake, Chato mkoani Geita leo Jumatatu. Magufuli alifariki dunia 17 Machi 2021, Dar es Salaam. https://t.co/vSvgBmNW1t View attachment 2027272
Vipi kile kiti pale kwa angle huyo mlinzi anakesha hapo kulinda aliyelala kwani hizo vigae ni dhahabu?
Si ashajengewa kuna haja ya mlinzi?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom