Picha: Rais Kikwete ashiriki maombolezo ya Regia Mtema

Tanzania ni moja, watanzania ni wamoja.. Tutakukumbuka Da. Regia, pumzika kwa amani.
 
ningependa kuona slaa akimsalimia JK.ndo mambo ya utaifa hayo

Wanakwepana hao, lakini nadhani Dr. Slaa anajitahidi sana kumkwepa Kikwete kwa visingizio kadhaa vya kuwajibika, lakini ipo siku watake wasitake watashikana mikono tu na hapo picha zitapamba magazeti. Cha kumshauri Dr. Slaa ajitahidi kuwa flexable na kusamehe kwani haya yaliyotokea ni mambo ya kawaida katika ulingo wa masumbwi ya kisiasa.
 
Ni vigumu kuamini any way kifo ni kwa ajili ya wanadamu!!!! Kwa nini Regia? its painfull
 
Kwa mwendo huu Slaa hafai kuwa na nafasi kubwa kwenye serikali yetu.
Mtu asiyependa madiliko hafai. Inabidi ajifunze kubadilika na kuendana na mazingira.
 
Mkuu inaonekana unachuki Binafsi na Chadema.
Hv leo akifa (Mungu epushia Mbali) CDF Davis Mwamunyange, Mandhar ya Msiba ikiwekewa Bendera za JWTZ kuna ubaya gani, tukiona wanajeshi wamevaa Uniform pia tutie Neno?
Mbona hata kwenye Misiba ya Viongozi wa Magamba inakuwaga hivyo....
 
Kwa mwendo huu Slaa hafai kuwa na nafasi kubwa kwenye serikali yetu.
Mtu asiyependa madiliko hafai. Inabidi ajifunze kubadilika na kuendana na mazingira.
hilo vumbi lote unataka avae suti na tai ili iweje?ccm mmelala sana
 
Wanakwepana hao, lakini nadhani Dr. Slaa anajitahidi sana kumkwepa Kikwete kwa visingizio kadhaa vya kuwajibika, lakini ipo siku watake wasitake watashikana mikono tu na hapo picha zitapamba magazeti. Cha kumshauri Dr. Slaa ajitahidi kuwa flexable na kusamehe kwani haya yaliyotokea ni mambo ya kawaida katika ulingo wa masumbwi ya kisiasa.

Heshima mbele kiongozi, Thanx alot kwa updates za picha and even your comments upon what we shoud dress on sympathetic occassion like that.
My question ni kweli Dr. Slaa na Dr Kikwete wanakwepana ama hukufanikiwa kupata picha yao ya pamoja? Kwa ufahamu wangu sehemu kama hiyo tofauti za kiitikadi na mtazamo wa kisiasa ama uongozi huwekwa pembeni.
 
nawapongeza viongozi wote wa serikali na vyama akiwemo JK kwa kuweza kufika nyumbani kwa Regia,
wameonyesha mfano wa kuigwa
 
Back
Top Bottom