PICHA: Mererani mwanajeshi ajitoa mhanga

PICHA: Mererani mwanajeshi ajitoa mhanga

sijui unazijua vizuri sale za jwtz au unaongea tu...kwa cc tunaojua hiyo sio sale ya jwtz.... Na siasa na ukombozi wa kweli hauji hivyo kwa kutafuta watu kuwavalisha kombati kutimiza maelngo ya kiasiasa ,....ukombozi w akweli uko moyoni na mapenzi na chama yako moyoni....

Naona umeshindwa kusoma na hata picha imekua shida basi kuwa mjuaji

View attachment 76517

View attachment 76518
Hizi ndizo uniform za Jeshi la kimarekani​

umeshawahu kuona aina hii ya VUVUZELA! MDAU NIMELIKUTA LEO KATIKA MAZOEZI YA SIKU YA MAADHIMISHO.JPG
Solder.jpg
Uniform ya mjeda huyu inatofauti gani na hizo nyingine tunaziona hapo za kitanzania.Sipendi tabia ya baadhi ya watanzania kwa kupenda kusema vitu vya kiongo, uzushi na kupachika maneno yasiyo husika wakati ukweli umesemwa mbele ya hadhara ambako kila mmoja anamuona.Hivi lini tutakuwa wakweli tuliondoe Taifa kwenye kuishi kwa kukwepesha ukweli.Uongo watu wengi wanaopenda kukwepesha maneno na kupandikiza vijisababu vya hovyo ili kujusfy matakwa yao ni dalili za U_o na U_zi ndio maana uwa wabishi kupindukia.Tena ungesema kuwa ni sale ya Jeshi uenda kutoka majeshi mengine ya kanda ya africa basi ungeleta maana​

ASKARI WA JWTZ WAKIWA MAZOEZINI.JPG
Uniform za JWTZ ambazo ndizo kijana huyo mpiganaji anaonekana kuzivaa,aachana na sale ambayo ni green iliyokolea kwenye combat.Hizi kombati zinautofauti gani na Combat alizovaa huyo kijana Mpiganaji.Unakwenda kutufananishia na Combat ya kimarekani.
 
Huyu askari ndiyo kamanda haswa anayetakiwa. Hakuna cha unafiki hapa!!! Na ninakuambia by 2015 tutaona mengi zaidi. Acha wamfukuze na kwa kuwa ni mdogo ataenda shule atasoma kozi yoyote na maisha yataenda tu. Mtu haishi kwa mkate tu. Maisha yapo kwa njia zozote zile tu. Bora kuwa wazi kuliko kuendekeza unafiki. Big up kamanda. Ni hakika watamfukuza kazi kwa kuwa jeshi eti linakatazwa kushabikia siasa na si wanachama wa chama wakati wanatumika kuipigia kura SSM? Ila nilifrahi 2010 Lugalo mambo yalikuwa safi kabisa, kura za SSM zilikuwa hazifiki 30!!
 
Kusimama na piga picha na Lema ndio tafsiri ya kushiriki siasa?

Nimechukua swali lako maana asilimia kubwa ya wachangiaji wapo vague hata hawajafanya uchambuzi wa kina

Wewe kama ni wakili naomba unipm aisee tufanye kazi maana you really seem to be critical and clever.
 
Kosa lake ni kushabikia chama cha siasa. Maana mwanajeshi hapaswi kushabikia chama chochote. Kwa kujitokeza kwake kwenye mkutano wa CHADEMA na kuonyesha alama ya V, kuna influence ya moja kwa moja kwa raia, na pia kunamuondolea yeye sifa ya kuweza kutenda haki iwapo yatatokea machafuko au mgogoro kati ya CHADEMA na CCM au chama kingine chochote.
Kwani maana ya alama ya V ni chadema
 
Kosa lake litakuwa lipi?

Kosa lake ni kwamba atakuwa ameenda kinyume na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambapo katika sura ya tisa (inayohusu Majeshi ya Ulinzi) Ibara ya 147 inayoeleza kama ifuatavyo:-


(3) Itakuwa ni marufuku kwa mwanajeshi yeyote kujiunga na chama chochote cha siasa, isipokuwa tu atakuwa na haki ya kupiga kura iliyotajwa ktk ibara ya tano ya Katiba hii.

(4) Kwa madhumuni ya Ibara hii, "mwanajeshi" maana yake ni askari aliyeajiriwa kwa masharti ya muda au ya kudumu katika Jeshi la Ulinzi, Jeshi la Polisi, Jeshi la Magereza au Jeshi la Kujenga Taifa.

Kila Jeshi (kama yalivyotajwa hapo ktk kif kdg cha 4) lina sheria, kanuni na taratibu zake ili kuhakikisha askari wake hawavunji Katiba ktk eneo hilo na atakayebainika adhabu yake ni kufukuzwa kazi kwa fedheha.

Kama picha ya askari inavyojieleza ni dhahiri huyo kamanda amejilipua maana akithibitika atakuwa amepoteza hiyo ajira.
 
A new Military Times survey finds that fewer American troops identify as Republicans.
According to the survey of 1,800 troops released on Monday, the number of active service members self-identifying as Republican has fallen by one-third since 2004, with 9 percent of that drop-off occurring in the last year.
Military Times reporter Brendan McGarry writes: "These career-oriented officers and mid-grade and senior enlisted members are still far more conservative than liberal, but they are less likely today to identify with the GOP, the survey shows."
The shift in party affiliation among active-duty troops comes on the heels of similar findings from a survey the publication released in 2008. Infantry officer Jason Dempsey writes on a comparable shift observed among troops between 2004 and 2006:

Source: Military Political Affiliation Shifts: Fewer U.S. Troops Identify As Republicans (POLL)
 
Dah! kashapoteza ajira tayari.
ila serikali ikae ikijua kuwa watu wamechoka kila mahala na sasa wajipange kurudisha imani kwa wananchi wake.
 
Dah! kashapoteza ajira tayari.
ila serikali ikae ikijua kuwa watu wamechoka kila mahala na sasa wajipange kurudisha imani kwa wananchi wake.

Mkuu walikuwepo 7...wamfukuze lakini wakae wakijua kuna wanao muunga mkono...
 
Kumbukeni wakuu wa Wilaya, Mikoa ni wanajeshia wapo wengi tu na ni Makada wa CCM
Aiiiiseeeeeeeeeeeeeeee, umenikumbusha yaani sheria inang'ata na kupuliza ...hahahahah
 
Sio kweli wanajeshi wana maisha mazuri sana kulinganisha na kada nyingine,, mikopo ,,mshahara,, hela ya chakula ,, wanaoishi nje ya kambi umeme maji bure,,achani unazi huyu. Kanyea debe tayari

Kada zipi unazizungumzia madaktari au wabunge...yaani wewe kulipiwa umeme ndiyo sehemu ya maisha mazuri, kama uko Arusha nitafute nikuonyeshe wanajeshi ambao ni madereva toyo kila wakitoka kazini saa kumi wana chukua toyo mpaka saa sita au saba wanaenda kulala hayo ni maisha mazuri....hivi wewe ukilipwa lakini nne usawa huu utajiita una maisha mazuri hata kama unalipiwa maji na umeme...acha ushabiki wa kipuuzi wana jeshi maisha yao ni ya shida sana ni nidhamu tu ndiyo maana wako kimya na sasa wameanza kufunguka subiri, una sema ananyea debe hivi kwa mwana ume kunyea debe ni issue tena huyu ni mwana jeshi kunyea debe ataongopa acha kufundisha watu uoga wa kipumbavu kuna watu wamejitoa mhanga kama huyo afande...

Kwa taarifa yako issue ya Trillion 3 wanaijua na walitaka kuleta noma jeshi lika wahonga Toyo kuwa pooza...
 
Sidhani kama ni mjeshi halisi. Inawezekana kijana kayavaa tu hayo mavazi.
 
Huyu mjeshi nimekubali!Huyu nijasiri kabisa!Wengi kama hawa wana matatizo kama yeye ila nidham ya uwoga ndio imewajaa!
Merry x-mass kamanda!...
 
Sio kweli wanajeshi wana maisha mazuri sana kulinganisha na kada nyingine,, mikopo ,,mshahara,, hela ya chakula ,, wanaoishi nje ya kambi umeme maji bure,,achani unazi huyu. Kanyea debe tayari
tumia akiri kidogo ktk kuandika hivi unaweza kulipa thamani ya uhai wa m2 kwa vipesa vya maji unavyosema and how much?mbona wakistaafu wanakuwa walinzi wa maduka na nyumba zetu kwa ujira wa kijinga' ni bora hawa jamaa wakaboreshewa maslahi na maisha yao kwa ujumla.
 
Yuko tayari kuvua gwanda la kivita na kujivika gwanda lenye kushabihiana na lile la mgambo...viva CDM
 
Crashwise huyo mwanajeshi wakimwonea mpe contact zangu nakuhakikishia hatalala njaa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom