PICHA: Mererani mwanajeshi ajitoa mhanga

PICHA: Mererani mwanajeshi ajitoa mhanga

kisheria baada ya kuanzishwa mfumo Wa vyama vingi wanajeshi hawaruhusiwi kujiunga Na chama chochote cha siasa.

Taarifa nikizonazo wanajeshi wengi wana kadi za ccm kwa sababu kuna muda klikuwa lazima kuwa Na kadi ya ccm Au umoja Wa vijana ili kupata ajira jeshini. Sijui Kama baada ya kuwa Na vyama vingi walinuang'anywa hizo kadi Au waliendelea kuzilipia Na kuwa wanachama kisiri siri Au walibaki Na kadi za ccm Kama souvenir.

Hata hivyo wanajeshi wanaruhisiwa kupiga kura hivyo lazima wawe Na mapenzi Na vyama
Ndio maana ikasemwa "amejitoa muhanga." Unaelewa?
 
Magwanda ya kijeshi yanauzwa kila uchochoro wa mitumba! sasa gwanda hilo halinishangazi maana tangu turuhusu mitumba sio shida tena kujipatia gwanda la jeshi!

Wee ZUBEDA jaribu kuvaa gwanda kama alilovaa huyu jamaa halafu pita mtaani uone kazi yake ilivyo pevu. Hizo nguo unazosema huwa ama zinafanana na magwanda ya jeshi letu au ziko kama magwanda ya majeshi ya nchi nyingine.
 
Yote haya ni kuchoshwa na ugumu wa maisha unaosababishwa na seriakali dharimu ya ccm. Watanzania sasa ni kama watoto waliachwa bila mzazi wala mlezi. NI mahangaiko tu. Afadhali huyu anaonyesha rangi yake ya ndani hadharani kuliko ufisadi na dhuruma zinazofanywa na ccm usiku wa giza.
 
Ikiwa anaachishwa kazi, haitakuwa kwasababu ana kosa, bali ni kwasababu utamaduni wetu huwa ni wa kuchukua hatua kwa kuangalia matokeo na sio chanzo kilichopelekea matukio hayo

Mkuu umenena, huyu ni kielelezo na amewakilisha wenzake wengi ambao wanayo moyoni yanayowakera,hatari ipo tena kubwa tu.Tusije tukashangaa siku moja wakijitoa mhanga
 
jeshi lina sheria, kanuni na taratibu zake! lets wait...........

.
Huyu mjeshi alishuhudia mnadhimu wake Abdulraham Shimbo akiifanya siasa, hivyo ikamdhihirikia sii kosa kufanya siasa.
Kama ni kosa lingeanzia kwa Shimbo. Labda kuwe na double standards.
.
 
Magwanda ya kijeshi yanauzwa kila uchochoro wa mitumba! sasa gwanda hilo halinishangazi maana tangu turuhusu mitumba sio shida tena kujipatia gwanda la jeshi!
Kama kuna watu wenye akili finyu ni wewe,hujui kuvaa hizo nguo hapa Tz kama si askari ni kosa? Au nawe ni PM7? Sasa mnsubiri hadi mpinduliwe kama na wanajeshi wamechoka your days are numbered nyie nganganeni tu na Chadema wakati mambo yanavurugika
 
Wapo wangapi nyuma yake? CDM jana,leo.kesho na milele
 
karibu sana kamanda!mbona kuna polisi alitaka kugombea NEC?
Yule polisi wa morogoro aliyegombea NEC CCM pale Dodoma laifukuzwa kazi,so mkaribishe ukikijua anakuja akiwa hana kazi.
 
Hata hizo nguo zinapatikana hata kwenye maduka zinaendana na kombati.La kushangaza hakuna.Angejitaja jina hapo sawa.Siasa ndo hizo wazee.
Hizo nguo zinauzwa duka gani? Acha siasa za majitaka,ajitaje jina ili iweje? Wewe mbona umetumia ID?
 
Mbona uniform yenyewe haina "force number" kifuani na wala haina alama za Taifa letu juu ya bega? alizitoa au uniform feki?

Kanunue hizo feki halafu upite nazo mtaani uone kwa nini kuku hakojoi
 
Mkuu maisha ni magumu yaani wanajeshi wanatamani afadhali wawe wachimba msingi kuliko kutumikia jeshi..kuna polisi wengine ukiwaona hata mavazi yao utawahurumia...

Heri ya polisi mkuu wanaweza kuokota okota rushwa za kulazimisha, sasa hawa wanajeshi wetu je,wao ni choka mbaya sana.
 
Magwanda ya kijeshi yanauzwa kila uchochoro wa mitumba! sasa gwanda hilo halinishangazi maana tangu turuhusu mitumba sio shida tena kujipatia gwanda la jeshi!
Kwa maneno yoyote utakayotumia huwezi kupinga ukweli kuwa huu ni uthubutu wa hali ya juu, wewe naimani huwezi kujaribu alichofanya huyo jamaa. Usisahau pia kuna jinai kwa mtu asiye mwanajeshi kujifanya afisa wa jeshi, inamana km sio mwanajeshi, pia kathubutu kwa kujifanya afsa wa jeshi (kathubutu kuvunja sheria) bila uoga wowote katika kuonesha mapenzi kwa chama anachokiamin. Mbona viongozi wetu wa majeshi wanakanaga kuwa sio waumini wa ccm wakati ni wanachama damu wa ccm?? Huyu kadhubutu aisee!
 
Back
Top Bottom