Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,103
- 43,349
Msimshabikie mwenzenu akifanyiwa court martial na kuondolewa jeshini muwe tayari kumpa ajira! Wanajeshi wakitaka siasa watoke jeshini kwanza ndio kanuni ilivyo.
vp kuwaita wakurugenzi wa tanesco na tanroad kunadi sera za ccm ni dunia gani inaruhusu ichi kitu,BINAFSI KATIKA HILI SIUNGI MKONO ...HIZI SIO SIASA NA HUKANA NA HAKUNA DUNIANI KUWAHI KUTOKEA KITUKO CHA WANASIASA KUTAFUTA WATU KUWAVALISHA KOMBATI ZA JESHI KWA LENGO LA KUFANIKISHA MAMBO YAO YA KIASIA..NDO NAONA HAPA TZ... NA UKWELI UKO WAZI HASA HAWA VIONGOZI HAWA VIJANA WA CDM UKWELI NI HATARI WANAVURUGA NCHI WAZI WAZI... TUSHABIKIE LAKINI TUANGALIE NA UKWELI WA SWALA HILI NI HATARI SANA . MBOWE,SLAA ,MZEE MTEI VYEMA MKAANGALIA UPYA NJIA YA KUPATA MAFANIKIO KATIKA SIASA ZENU KAMA NI SAHIHI AU LA...
likelihood kuwa huyu sio mwanajeshi ila ni pandikizi ni kubwa,coz hiyo uniform haipo tena imebadilishwa,lkn kama ni mwanajeshi, kutokana na kiapo chake,na taratibu na masharti ya ajira ya jeshi,huyo hana kazi tena,,,,,pole yake kama alidhani ni mzaha na masihara ya kushabikia vitu asivyoelewa madhara yake.
Kosa lake litakuwa lipi?
Tena akijifia kuwa ni kada wa CCM wa siku nyingi toka enzi za TANU.Siyo siasa sema upinzani!
Jiulize ilikuwaje jenerali Mboma aligombea ubunge kwa ticketi ya CCM soon baada ya kustaafu.
Ukada wako sisi hatuhusu,mbona mnatumia viongozi na watumishi wengi tu wasiostahili,Tuambie akina Tibaigana wakati wanagombea ubunge huko Muleba baada ya kustafu Polisi lini alikuwa mwana CCM,Je na James Kombe kamanda wa Polisi huyu kila cheo cha ccm anakitaka japo wanaflush,Je na huyu Jenerali Mboma?,na MADC,MARC ?.kafie mbaliUkombozi wa kweli hauwezi kuja kwa watu kuasi viapo vyao na kukiuka maadili ya kazi na sheria za kazi,ni hatari sana kushabikia hii hali,coz anaeshughulika na mapungufu yoyote ya serikali ni bunge na sio Jeshi,msitupeleke huko.Lema to me wewe ni hatari sana na angalia sana,sio kila mtu umtumie kufanikisha malengo yako kisiasa,makundi mengine yakitumika ni hatari sana.
Kosa lake litakuwa lipi?
jeshi lina sheria, kanuni na taratibu zake! lets wait...........
Sio kweli wanajeshi wana maisha mazuri sana kulinganisha na kada nyingine,, mikopo ,,mshahara,, hela ya chakula ,, wanaoishi nje ya kambi umeme maji bure,,achani unazi huyu. Kanyea debe tayari
Msimshabikie mwenzenu akifanyiwa court martial na kuondolewa jeshini muwe tayari kumpa ajira! Wanajeshi wakitaka siasa watoke jeshini kwanza ndio kanuni ilivyo.
Kosa lake litakuwa lipi?
Naona Wenye haamini.
Jamaa keshakosa ajira.
jibu swali...kosa lake litakuwa ni lipi?
hoya unauliza majibu ya nanii ino ya wakati umeshika mkia wake!! Mwanajeshi kesha tamka wazi kuwa yuko tyari kufukuzwa hana cha kupoteza!!!mtu akishakuwa kwenye pointi hiyo unategemea.
Halafu kama uwezi kusoma maandishi kibe hata picha uoni,yani unayaona hayo magwanda ni ya jeshi la kimarekani!!hivi kwanini uwa mnawapotosha watu wa serikali ya jmt kwa kuwavisha na story za kipuuzi eti "au kavaliwashwa magwanda na ukiangalia pia magwanda yake ni tofauti na ya jwtz, ni ya jeshi la marekeani.".kwanini usione katika picha na kujenga dot kuwa ni mmoja wa wana usalama wetu lakini aliyefika mwisho katika maamuzi yake ukizingatia kuwa ni kijana kwa sasa hana cha kupoteza.
Wapo walio acha jeshi wakaenda kuwa wasanii wa muziki kama wakina ......wa wanaume family,ni uamuzi wa ujana kwa mujibu wa jinsi anavyo ona yeye.ila kwa kuwa huyu ni wa kisiasa basi kidogo yeye unamuangalia kwa jicho,kuwa nini kimemfikisha kwenye uamuzi huo je ni mwajili wake serikali ya jmt imeshindwa kumtimizia ujira wake na doto zake azioni kuwa zitatimia hivyo ameamua kujiunga na cdm ili kutafuta ndoto yake hiyo,ambayo ni haki yake ya msingi pia,ila kwa kuwa akichagua kukaa huko basi inabidi kuvua gwanda hilo la jmt,na kuonyesha kuwa yuko tayari kwa hilo kasema yeye hana shaka yuko tayari kwa hilo,muda wowote mwajili wake akisema imetosha aludishe combat hiyo.
Kijana kasema kazi iko kwa jwtz kujipima je ni wangapi watamfuata kijana mwenzao huko kama anayoyatafuta anayaona ni genuine kwanini na wenzie wasiyaone kuwa ni genuine vile vile.
Ndugu si kweli kabisa unachokisema, kwa mfanoSheria ya majeshi dunia nzima hawafungamani na siasa ..... Na kama ikatambulika kama si askari shahidi namba moja atakuwa lema na wenzake .... Pia kuvaa sale za jeshi iwe la tz au nje ya nchi pia ni kosa... Na kwa akili ya kawaida hakuna askari mwenye akili kama hizo akatokeza mbele hivyo na magwanda ya jeshi ...