Capitol
Member
- Nov 26, 2010
- 28
- 8
Wala huo siyo mtumba ndugu yangu. Ukivaa hiyo nguo you know when what you are looking at is mtumba or not. Ila inawezakuwa aliyevaa nguo hizo siyo mwanajeshi pia. But vyovyote vile meseji inayotolewa naikubaliMagwanda ya kijeshi yanauzwa kila uchochoro wa mitumba! sasa gwanda hilo halinishangazi maana tangu turuhusu mitumba sio shida tena kujipatia gwanda la jeshi!