PICHA: Mererani mwanajeshi ajitoa mhanga

PICHA: Mererani mwanajeshi ajitoa mhanga

hilo ni jeshi la wananchi kaka sio la policcm wala shimbo kama ungelikuwa unajua msimamo ya kamanda mkuu ndio ungewaza hayo pole.
 
Uthibitisho ni kura za Jakaya 2010 pale LUGALO. Hawa jamaa wamechoka kama wengine
 
Askari alifanya makosa, lakini ndani yao pia kuna waliowanachama wa CCM na hapo haionekani wanafanya makosa. Double standard hapa ndio tatizo kubwa. Akifukuzwa kazi huyu bwana hana cha kupoteza sana kwani bado yuko katika cheo cha chini lakini itakuwa inahatarisha mwelekeo wa wale wa vyeo vya juu walio CCM. Lots of questions will be asked with no answers! How can you distinguish between junior and senior officers kwenye ushiriki wao kwenye siasa? Kama ni msumeno, ukate kote. Na kama chama cha siasa, CCM si tofauti na Chadema!!! Askari wengi wanaishabikia Chadema na sio siri, we have them in streets na wengine ni ndugu na marafiki zetu.
 
Mkuu nafikiri hii ni njia ya kutuhadaa, huku hali Chadema wametumia nafasi hii kutuonyesha Jezi yao ya msituni watakayotumia 2015 kama Lema alivyokwisha sema Bunda. Kama hali ni kama hii basi Wadema wameingia choo cha kike, kwani naamini wananchi waliokuwepo kwenye mkutano walishuhudia uozo wote na kupemvua pumba na mchele. Najua si wote waliokuwa wamelala. Je kama ni kweli Chadema wanataka kutuambia kuwa wao na Jeshi ni kitu kimoja? Kama ndivyo wafanye mapinduzi sasa, au wanasubili nini? haingii akilini hata kwa mtoto wa chekechea. Poleni kwa kujizalilisha
Kwenye red, kwako mapinduzi ndicho kitu cha msingi? kama unathamini mapunduzi hamia Kongo.
 
Back
Top Bottom