paul nsangu
Senior Member
- Nov 23, 2012
- 179
- 32
safi sana afande hata mwenzako mmoja pale kihesa iringa alirudisha kadi hadharani mbele ya akina bananga na kusema yupo tayari kuuawa.
Mwanajeshi mmoja ameamua kujitoa mhanga na yuko tayari kufukuzwa kwaajili ya CHADEMA maana amechoshwa na maisha magumu ya kwake binafsi na ndugu zake...
View attachment 76434
Lema, Nassari na mwanajeshi aliyeamua kusema yupo tayari kufukuzwa kwa ajili ya CDM LEO kwenye mkutano Mererani
More pics..
Kosa lake kuwa ktk mkutano wa CDM. Kama angekuwepo wa CCM sio kosa. Hakuna sheria bongo ni UCCM tuuKosa lake litakuwa lipi?
Mwanajeshi mmoja ameamua kujitoa mhanga na yuko tayari kufukuzwa kwaajili ya CHADEMA maana amechoshwa na maisha magumu ya kwake binafsi na ndugu zake... View attachment 76434 Lema, Nassari na mwanajeshi aliyeamua kusema yupo tayari kufukuzwa kwa ajili ya CDM LEO kwenye mkutano Mererani More pics..
Nahic huyo mwanajeshi ni tahira wa madawa ya kulevya na uchaga unamsumbuwa sio kila mwanajeshi ana akili timamu
hakika picha hizo, zinatoa taswira nyingi kwa wananchi na CDM , kwa ujumla wake, hivi kweli mh ZZK anaweza akafanya vitendo hivyo. hivi unategemea ukimuuliza ZZK juu ya picha hizo au vitendo hivyo atasema nini? kuna tofauti kubwa ya kiuongozi kati ya viongozi na viongozi ndani ya CDM. mh NASSARI unadhani ni sifa hiyo? mh LEMA unadhani ni jambo jema hilo? nawewe mwingine mpenda sifa unadhani ni sawa kabisa hapo. nawe mjeshi vua gwanda kwanza kisha jiunge na CDM.vinginevyo jani maana hata ile mguu upande uliosimama si ya kiaskari imekaa ki-msokoto zaidi
afsa wapo wengi sana tena kwa maelfu ila walichokosa ni ujasiri ambao ndio uhalisia wa mwanajeshi, awe wa kiume ama wa kike!
jamaa bado wanabisha hilo?tena hao wa chini ndio wanafundishwa kutojali uhai wao kama wanavyojali malengo ya jeshi na watawala.Wakati wanajeshi wakubwa wanafundihwa kuogopa kufa wakiaminishwa kuwa wao ndio watu wa mipango na wamesomewah kwa gharama kubwa.Hawa kufundiwa kulindwa.Kwa taarifa yako HAKUNA MWANAJESHI AMBAYE SI JASIRI!
ni wakati sasa wa kujitokeza ili waoneshe uzalendo!Wapo wengine wengi, hawajaja hadharani!:target: