Kassim Awadh
JF-Expert Member
- Mar 12, 2012
- 884
- 187
KIBE naona umekomaa na thread hii acha kabisa! Labda nikukosoe kidogo kwenye hii dhana yako ya kusema jamaa wamemvalisha kombati,umekomaa nayo sana but kumbuka askari jeshi,polisi,magereza na wengineo nao ni watu wenye feelings zao pengine kinachowahold back ni mikwara/unafiki/sheria wanazoita za jeshi. Unamwambia mtu akapige kura kumchagua kioingozi anayetokea chama cha siasa ilhali yeye unmzuia kushiriki siasa ni uongo! lazima askari huyu ana chama chake. so hata huyu anaweza kwua askari kweli ila kashindwa tu kujizuia kama yule wa dodoma na nec