Mimi nawatahadharisha ndiyo amekuja anatupa umaarufu lakini doubt every thing maana anaweza akatumwa na wahasimu awe karibu na nyinyi mumuone mwenzenu mpumbazike naye mkishasahau siku amewazoea kitaingia kikosi na silaha kwenye mikutano au ofisi kinawapiga mabomu wale machachari au mnapigwa mizinga mnakufa mnashangaa viongozi wazuri wanapotea kuja kuwapika wengine na kusimama wenzetu wako mbali. Nashauri usalama wa Taifa wa chama uwe na Tahadhari na kuchunguza mambo wakati wowote hata kina Shibuda tuliwaleta kwa mbwembwe wamegeuka mzigo. Mimi nafurahi kwa mawanajeshi kuingia kwenye vuguvugu lakini tuujue ukweli wake na ukweli wa mambo yenyewe maana wenzetu wanajua kucheza dili kama hizo
Mkuu CCm ni kundi la psychopaths.Kosa ambalo CDM wnatumia kuwatuhumu polisi na akina shimbo halafu CCM hawaoni kuwa ni kosa ndilo watalomhusisha nalo, Pia jeshi litamwadabisha kwa kutumia uniform.Kosa lake litakuwa lipi?
Teh teh..hizo sababu kama za Taliban wa afghanistan, na pakistani mara watu wao wanapoachana na uislama halafu wakapata kinga ya kimataiafa.Huishia kuwaita vichaa ili wengine wasianze kumwafuta kw akasi ambayo talibani wanahisi itakuwa avalance.. Hata "Son of hamas aliitwa kichaa".Kama siyo kukanusha kwamba huyo siyo mwana jwtz, maagizo yatatolewa auwawe au awe mentally disturbed ONLY for the survival of the ruling party at any cost.
kisheria mtu wa chombo cha ulinzi na usalama hapaswi KUJIHUSISHA NA MASUALA YA VYMA,HAPASWI KUSHABIKIA CHAMA AU KUWA MWANACHAMA WA CHAMA CHOCHOTE
Hairuhusiwi comrade, ipo wazi kwenye "volumes", ingawa una haki ya kupiga kura, huruhusiwi kushiriki siasa kwa kuwa mwanachama wa chama chochote, kupigia kampeni chama chochote na hasahasa kwenda kwenye mkutano wa kisiasa na mavazi ya kijeshi.., hii ni miongozo ipo kwenye vitabu,
kama mtu atafanya lolote kupingana na hiyo miongozo anachukuliwa hatua.haijalishi ni ccm au cdm, hayo ni makosa.na kama ni mwanajeshi kweli, trust me, leo haiishi huyo jamaa tayari atakua ameshaandika maelezo mengi sana kujieleza kwanini asichukuliwe hatua za kinidhamu.
Ikumbukwe, maana ya kuwekwa miongozo ya namna hii ni kwamba jeshi halina chama, jeshi linawajibika kwa amiri jeshi mkuu aliyechaguliwa na wananchi bila kujali chama.na ndio maana halisi ya miongozo ya namna hiyo.
Bottom line ni makosa hayo haijalishi imefanywa na nani kwa chama gani.
Msimshabikie mwenzenu akifanyiwa court martial na kuondolewa jeshini muwe tayari kumpa ajira! Wanajeshi wakitaka siasa watoke jeshini kwanza ndio kanuni ilivyo.
watafanyiwa wangapi hayo unayohubiri?Kama siyo kukanusha kwamba huyo siyo mwana jwtz, maagizo yatatolewa auwawe au awe mentally disturbed ONLY for the survival of the ruling party at any cost.
Msimshabikie mwenzenu akifanyiwa court martial na kuondolewa jeshini muwe tayari kumpa ajira! Wanajeshi wakitaka siasa watoke jeshini kwanza ndio kanuni ilivyo.
Mtajipambambanua kwa njia nyingi lakini sawa na mwanaume asiye na kizazi ... Bado mtanunua hadi nguo za mgambo wa jiji,za manesi na madr alafu mpige nao picha.... Hata kwa macho tu mtoto mdogo anajua huyo kibaka tu kaokotwa mtaani kavalishwa nguo .
Kosa lake litakuwa lipi?
Yule polisi wa morogoro aliyegombea NEC CCM pale Dodoma laifukuzwa kazi,so mkaribishe ukikijua anakuja akiwa hana kazi.
nilidhani unatania kumbe unatoa kitu inayouma kiasi hiii....mh.JF ni nouma.Nafurahia sana Misa ya Al-masih.Amepiga picha na idol wake, kosa liko wapi? hata Jk akienda US kwa kutumia kodi zetu anapiga picha na ma idol zake? Je mimi raia wa kawaida si ruhusiwi kupiga picha? Mbona wanajeshi wengi wakiwa na magwanda yao wamepiga picha wakiwa na ndugu jamaa na marafiki?