PICHA: Mererani mwanajeshi ajitoa mhanga

PICHA: Mererani mwanajeshi ajitoa mhanga

Crashwise huyo mwanajeshi wakimwonea mpe contact zangu nakuhakikishia hatalala njaa

Ngoja ni wasiliane na makamnda wakimfukuza kazi leo kesho anaanza kazi siyo..hahahaah safi sana Kamanda Mungi
X-mas njema
 
Last edited by a moderator:
aliteleza huyu...... au ndo mi :majani7:.......????????
 
Kweli huyu mjeda choka mbaya,pole sana kamanda.!
 
aliteleza huyu...... au ndo mi :majani7:.......????????
Tatizo wewe kama una shiba mpaka unavimbiwa huwezi kujua yanayo mkuta...Kuna mchezaji mmoja wa alisajiliwa nje akapiga mahesabu pesa anayo lipwa na kodi anayo paswa kulipa jamaa akarudi zake bongo watu walimsakama wee lakini jamaa alikuwa na hoja kama una cheza nje ya nchi halafu mwisho wa siku hata mama yako akikubipu huna uwezo wa kumpigia simu yaani sasa sia afadhali nikacheze bongo tu..hahah..sasa hakuna haja ya kuwa mwana jeshi wakati kila jioni wewe ni dereva toyo kutafuta cha kula cha watoto...
 
Mtajipambambanua kwa njia nyingi lakini sawa na mwanaume asiye na kizazi ... Bado mtanunua hadi nguo za mgambo wa jiji,za manesi na madr alafu mpige nao picha.... Hata kwa macho tu mtoto mdogo anajua huyo kibaka tu kaokotwa mtaani kavalishwa nguo .

wenyehali mbaya ndiyo kama huyu mwanajeshi ambaye wakati mwingine mahali pakulala nachakula ni bure mura !! kwanini musimchukue mtanzania wakawaida kutoka kijijini aliyejaa viraka munakimbilia wafanyakazi kwalengo la kuwa
 
tumia akiri kidogo ktk kuandika hivi unaweza kulipa thamani ya uhai wa m2 kwa vipesa vya maji unavyosema and how much?mbona wakistaafu wanakuwa walinzi wa maduka na nyumba zetu kwa ujira wa kijinga' ni bora hawa jamaa wakaboreshewa maslahi na maisha yao kwa ujumla.
sijui maana ya maisha mazuri ni nini? msumeno anavyoelewa eti wanajeshi wana maisha mazuri...
 
Last edited by a moderator:
chadema tukaze buti jeshi linatuunga mkono
IMG_4278.JPG
 
Mingoi

huyo mnafiki alilejesha t-shirt ya CCM na sasa amesha rudi magamba tena...
 
Last edited by a moderator:
Tumejaribu kuangalia ktk kumbukumbu zetu tumebaini kwamba hatuna mwanajeshi wa namna hiyo.
Sasa tunajipanga kushitaki Lema kwa kosa la kumiliki uniform za jeshi uku akijua ni kosa kubwa kisheria.


By
Mwamunyange.

acha kufikir kwa kutumia masaburi,
 
Jamaa hana kosa lolote maana kama anaruhusiwa kupiga kura...pia anaruhusiwa kusikliza sera za vyama...na sera hapo ndo .zinafafanuliwa. Kosa ni kuwa mwanachama wa chama cha siasa....
 
Mkuu maisha ni magumu yaani wanajeshi wanatamani afadhali wawe wachimba msingi kuliko kutumikia jeshi..kuna polisi wengine ukiwaona hata mavazi yao utawahurumia...
wacheche wao ndio wana enjoy bia zilizo ktk ruzuku na mikopo ya miradio na TV fake ambzo zinaingizwa na wakubwa wao.Sasa nadhani wameshtuka kuwa hata saccos zao ni kimeo na zinazidi warudisha nyuma mara nyingine baad aya furaha fupi.wengine wanajua wakitoka hawataweza pewa mkoa,wilaya au ujumbe wa Body kama akina Mboma.
 
Nahic huyo mwanajeshi ni tahira wa madawa ya kulevya na uchaga unamsumbuwa sio kila mwanajeshi ana akili timamu
 
Mtajipambambanua kwa njia nyingi lakini sawa na mwanaume asiye na kizazi ... Bado mtanunua hadi nguo za mgambo wa jiji,za manesi na madr alafu mpige nao picha.... Hata kwa macho tu mtoto mdogo anajua huyo kibaka tu kaokotwa mtaani kavalishwa nguo .

Relax dude, what is the motive behind????????????.
 
Mimi nawatahadharisha ndiyo amekuja anatupa umaarufu lakini doubt every thing maana anaweza akatumwa na wahasimu awe karibu na nyinyi mumuone mwenzenu mpumbazike naye mkishasahau siku amewazoea kitaingia kikosi na silaha kwenye mikutano au ofisi kinawapiga mabomu wale machachari au mnapigwa mizinga mnakufa mnashangaa viongozi wazuri wanapotea kuja kuwapika wengine na kusimama wenzetu wako mbali.

Nashauri usalama wa Taifa wa chama uwe na Tahadhari na kuchunguza mambo wakati wowote hata kina Shibuda tuliwaleta kwa mbwembwe wamegeuka mzigo.

Mimi nafurahi kwa mawanajeshi kuingia kwenye vuguvugu lakini tuujue ukweli wake na ukweli wa mambo yenyewe maana wenzetu wanajua kucheza dili kama hizo
 
Crashwise hawa jamaa mbona wapo wengi sana, uchaguzi uliopita hukuona vituo vya kupiga kura kwenye kambi mbali mbali ccm ilipigwa chini na cdm wakaibuka kidedea?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom