Picha: Mengi akigawa utajiri wake

Picha: Mengi akigawa utajiri wake

Hongera sana Mzee Mengi ni matajiri wachache sana ambao hupenda kula na mskini na wahitaji kama hao...tena kwa hapa bongo kama yupo mwingine mtajeni!
 
Binafsi huwa sioni tija ya kumpa mtu ubwabwa kwa siku moja. Angekuwa kila mwaka anaingiza walemavu 10 kwenye scholarship program angebadili maisha ya watu wengi sana. Wakishakula na kunywa for a day per year, then?
Mh!! ila binadamu kuishi naye kazi zilipoibiwa za escrow tulilalamika sana haya sasa wenye nazo wakiwagawia mnalalamika. Jamani kazi ipo
 
Binafsi huwa sioni tija ya kumpa mtu ubwabwa kwa siku moja. Angekuwa kila mwaka anaingiza walemavu 10 kwenye scholarship program angebadili maisha ya watu wengi sana. Wakishakula na kunywa for a day per year, then?
Lbda wenyewe wamechagua ubwabwa..........
 
Binafsi huwa sioni tija ya kumpa mtu ubwabwa kwa siku moja. Angekuwa kila mwaka anaingiza walemavu 10 kwenye scholarship program angebadili maisha ya watu wengi sana. Wakishakula na kunywa for a day per year, then?

Kuna walemavu kawasomesha na wengine wako vyuoni na mashuleni pia wapo haliowapatia mitaji ambao wanafanya vizuri tu kwenye ujasiliamali kama alivyokili jana katibu wa chama cha walemavu kwenye hotuba yake.
 
Huyu baba hua anajitahidi jamanii

Angekua anajitahid , omba omba mosh mjin pale wasingekuwepo! tena ni wachache sana, pale crdb wako wa4, stand barabara ya kuelekea mbuyuni karbu na nmb wanaesabika pia.
 
Angekua anajitahid , omba omba mosh mjin pale wasingekuwepo! tena ni wachache sana, pale crdb wako wa4, stand barabara ya kuelekea mbuyuni karbu na nmb wanaesabika pia.

Anatoa anavyojisikiaaa bana hata we unaweza kuwasaidia pia
 
we faiza toka uzaliwe kuna mlemavu ashawahu kula hela yako?
 
Angekua anajitahid , omba omba mosh mjin pale wasingekuwepo! tena ni wachache sana, pale crdb wako wa4, stand barabara ya kuelekea mbuyuni karbu na nmb wanaesabika pia.

Wewe huwezi kuwasaidia?
 
Anatoa anavyojisikiaaa bana hata we unaweza kuwasaidia pia

Unajua kuna utoaji wa show , afu kuna utoaji wa kutoka moyon, mi ofcause nawasaidia afu ni mlangoni kuelekea kwao, na uwezi fananisha pesa yangu na yake ye ni nyingi..

nliposimamia ni kwamba wenye shda ni weng sana je ni wote anawasaidia kwa uwiano stahiki kama awez kuwasaidia wote atoage kimya sio kuweka matangazo, we unafkir hawa uku njian wengne wakisikia meng kasaidia walemavu atajiskiaje afu ye anasota...,

ninachopinga ni ile show off sio nzur watoage kimyakimya
 
Jaribu kutumia hekima japo kidogo tu,vitabu vyote vitakatifu vinasisitiza umuhimu wa kuwajali wasiojiweza,ni jukumu letu sote kuwasaidia wasiojiweza.Nani asiyetambua mchango wa Mh. Reginald MENGI kwenye sekta ya elimu,watoto wa kike,vijana,madini n.k. Kutoa siyo utajiri ni moyo wa mtu mwenyewe

Hakuna lolote, huko kote unakopataja mbona hatuoni? Tunaona hapa akiwaanika vilema na wasiojiweza kwa kutafuta sifa.
 
Binafsi huwa sioni tija ya kumpa mtu ubwabwa kwa siku moja. Angekuwa kila mwaka anaingiza walemavu 10 kwenye scholarship program angebadili maisha ya watu wengi sana. Wakishakula na kunywa for a day per year, then?

Kibongo bongo wazo lako liko poa, lakini gathering kama hizo ni zaidi ya msosi. Mlemavu aliyeko Mbagala atapata fursa adimu ya kushea uzoefu WA maisha na mlemavu wa Kibamba. Kuna kupeana business cards kwa wale waliojaaliwa maana sio kila mlemavu na mchovu au maskini au hana elimu. Kikubwa hapo ni networking kati ya walemavu na kupeana dili. Wengine unaweza kukuta ndio tukio wanalosubiri mwaka mzima kukutana na watu wenye ulemavu unaofanana nao tena.
 
Hongera sana Mzee Mengi ni matajiri wachache sana ambao hupenda kula na mskini na wahitaji kama hao...tena kwa hapa bongo kama yupo mwingine mtajeni!

Wanakula hawatangazi bwana mzee!
 
Kuwaanika wasiojiweza na kuwapa chakula ni kujitafutia umaarufu tu. Fanya wema kivyako unatutangazia sisi iwe nini? Tukusifie?

JK akitoa mbuzi wakati wa idi inatangazwa ili iweje?
 
Back
Top Bottom