NAGAMAHONGA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 12,322
- 10,898
Kuna watu wanasabibisha waislam waonekane wabaya.
Apo ndo mwisho wake wa kufikiri. Na kwakua ni chake, vipi umpangie namna ya kutumia!?!? Kwanini we ulie ona kasoro izo usiendeleze alipo achia Mengi?! Acha lawama zisizo na maana fanya nawewe sasa.
Sifanyi ujinga wa kutumia vilema au wasichonacho kwa faida yangu hata siku moja, Kumbuka hilo.
Ukitaka kumsaidia mtu haumpi kula unampa njia za kujitafuta kula bila kurudi kwako tena kwa ajili ya kula, akija muwe mnaongea mengine ya maana. Kumbuka hilo.
Hapo anawatumia vilema kujitafutia umaarufu.
Kuna shule ya walemavu yombo aliijenga yy,walemavu wanasoma bureNasikia kila mwaka hutumia zaidi ya milioni 50 kuandaa shughuri hizo, ingekuwa jambo la maana zaidi kama hiyo pesa kila mwaka angekuwa anaitumia kuwalipia gharama za shule hao walemavu, Kwani wengi wao wanasoma shule za msingi na waliobahatika kuendelea ni ktk shule za kata, ambapo kwa kiwango hicho angewasaidia walemavu wengi sana kuliko kuwaita na kuwafariji kwa chakula na mziki wa masaa machache tu, huku wakikabiliwa na changamoto nyingi za kimaisha??? Mi nadhani washauri wake walione hili japo anajitahidi ila aangalie njia bora ya kuwasaidia zaidi ambayo itakuwa ya kudumu kwa wahusika nayo ni kupitia elimu.
Wewe kila kitu sio sawa lazima una shida.Hapo anawatumia vilema kujitafutia umaarufu.
Wewe kila kitu sio sawa lazima una shida.
Hapo anawatumia vilema kujitafutia umaarufu.
Umaarufu gani mengi anouhitaji?hayo ndio matokeo ya mitaala ya madrasa,mbona Ally Mufuruki tajiri mkubwa Tanzania hajawai kuwajengea hata stoo ya kuifadhia kandambili misikitini.
Angekua anajitahid , omba omba mosh mjin pale wasingekuwepo! tena ni wachache sana, pale crdb wako wa4, stand barabara ya kuelekea mbuyuni karbu na nmb wanaesabika pia.
uliwahi kusikia kuwa anawasomesha wao na hata mayatima? kwa nini asiwape elimu? hata hizo pesa anazojitangaza kuwasaidia walemavu huwapa mashikaji zake kama akina Likokola mwenye vikoba na walemavu hawazioni.
Sasa mtu kawakaribisha watu lunch unasema sifa sasa ulitaka afanyaje?ila ............never mind watu hatufanani.:hand:Kama siyo sawa, ni lazima na mimi nione sawa? Unanchekesha.
Sasa mtu kawakaribisha watu lunch unasema sifa sasa ulitaka afanyaje?ila ............never mind watu hatufanani.:hand:
kabisa...kumpa mtu chakula haimsaidii chochote
Anatoaga sana vicoba,juzi kati kamsaidia albino flani,week sio nyingi katoa msaada shule usinikariri vibaya lkn......?Awape nyavu wakavue, si kuwapa samaki. Nisome juu huko, usikurupuke.
Hapo anawatumia vilema kujitafutia umaarufu.
Tumia akili ndogo tu kufikiria ,kwa mengi tayari umaarufu anao,anakutana na mabalozi wa kigeni,mawaziri,wafanya biashara wa kimataifa sasa umaarufu gani tena huo,kwani kaanza jana?chuki za kiccm ?????