FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,776
hahahahaha too poor!!
"give a man a fish and you feed him for a day; teach a man to fish and you feed him for a lifetime"
hahahahaha too poor!!
JK akitoa mbuzi wakati wa idi inatangazwa ili iweje?
Hapo anawatumia vilema kujitafutia umaarufu.
Katika jitihada zake za kuendelea kuwawezesha watu wenye ulemavu, Dk. Mengi alitangaza shindano la kubuni wazo la biashara huku kila mmoja miongoni mwa washindi kumi watakuwa wakizawadiwa Sh. milioni 10 kwa ajili ya kuwasaidia kuinua hali zao kiuchumi.
soma zaidi hapa
Akitoa kimya kimya mnasema hamjawahi kuona/kusikia akitoa,akionyesha kuwa anatoa munasema ni show off,mimi naona ni bora atoe waziwazi ili atu influence wengine tuone haja ya kujitolea,ila ndiyo hivyo hkun jema kwa binadamu nyie! Mwenzako hapa anapingana na hoja yako huku akiungana na wewe kumponda mengi»mkubwa 21 17:17 TodayHakuna lolote, huko kote unakopataja mbona hatuoni? Tunaona hapa akiwaanika vilema na wasiojiweza kwa kutafuta sifa.
Akitoa kimya kimya mnasema hamjawahi kuona/kusikia akitoa,akionyesha kuwa anatoa munasema ni show off,mimi naona ni bora atoe waziwazi ili atu influence wengine tuone haja ya kujitolea,ila ndiyo hivyo hkun jema kwa binadamu nyie! Mwenzako hapa anapingana na hoja yako huku akiungana na wewe kumponda mengi»mkubwa 21 17:17 Today
By Dinazarde:
Anatoa anavyojisikiaaa bana hata we unaweza kuwasaidia pia
Unajua kuna utoaji wa show , afu kuna utoaji wa kutoka moyon, mi ofcause nawasaidia afu ni mlangoni kuelekea kwao, na uwezi fananisha pesa yangu na yake ye ni nyingi..
nliposimamia ni kwamba wenye shda ni weng sana je ni wote anawasaidia kwa uwiano stahiki kama awez kuwasaidia wote atoage kimya sio kuweka matangazo, we unafkir hawa uku njian wengne wakisikia meng kasaidia walemavu atajiskiaje afu ye anasota...,
ninachopinga ni ile show off sio nzur watoage kimyakimya
Nawe toa ulichonacho, itakusaidia katika ufalme wa mbingu.. Usilalamike ndugu.
tapika mama, mdomo ni wako!
JK akitoa mbuzi wakati wa idi inatangazwa ili iweje?
Jakaya ni Rais, kila alifanyalo linarekodiwa. Hana pakukwepa.
Unataka kufananisha kinyangarakata kile na Rais wa watu millioni zaidi ya 45? na mifugo yao, na ardhi yao, na mimea yao? Unanchekesha!
Faiza usi2mie dini kumtusi mja wa mwenyez mungu wala kauli kali kwa wasio waislamu kwani sio kujenga dini bali nikupotosha ndugu yangu ktk imani maana hata Nabii Musa aliambiwa na mwenyez Mungu amlinganie Fir aun kwa maneno matamu na ya upole sasa kama ndivyo bac hyo haswa ndio njia ya kulingania umma na sio majina na kauli kali kama kikaragosi maana huyo hajapata Nusra ya allah anaweza kupata Nusra kupitia kwako na kuwa muumin na ndivyo walivyo fanya mitume na manabii wa mwenyez mungu "mtake radhi na eleza hoja yako bila kumtusi"
Tusi lipo wapi? unanshangaza!
Haikuwa na haja ya kumuita kinyangarakati ni lugha ya kuudhi
Naona umebadili nyimbo, kutoka "matusi" mpaka lugha ya kuudhi. Unashangaza! kwanini sasa kwanza ulizuwa nimetukana?
Huoni haya wala hujuwi vibaya kuandika uongo?
Kinyangarakata siyo tusi wala siyo lugha ya kuudhi, uki compare Kikwete na Mengi, Mengi anabaki kuwa kinyangarakata tu.
umeupimaje?
Oky Faiza upendavyo na iwe hvyo sio amri ni ushauri tu na waweza muita vyovyote utakavyo