Utingo
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 10,265
- 8,094
Ila kugawa mabilioni ya wizi pale Stanbic ndo itasaidia chochote,si ndiyo eeh??????
itasaidia kivipi? labdakwenye ccm yenu
Ila kugawa mabilioni ya wizi pale Stanbic ndo itasaidia chochote,si ndiyo eeh??????
me naskia akiwapeleka watoto india kwe upasuaji wa moyo...nais apo pia atakua anjipa promo tu,...au sio?
bakhresa pesa anazo lakin hajawahi kusaisaidia walemavu
Hapo anawatumia vilema kujitafutia umaarufu.
Angekuwa ni muislamu ungeweka comment ya tofauti. Wewe ndo upo moyoni mwake mpaka usem hivyo. Tatizo ukishakuwa mdini huwezi kuwa na objectivity hata kidogoHapo anawatumia vilema kujitafutia umaarufu.
Angekuwa ni muislamu ungeweka comment ya tofauti. Wewe ndo upo moyoni mwake mpaka usem hivyo. Tatizo ukishakuwa mdini huwezi kuwa na objectivity hata kidogo
Kwani Mengi ni dini gani?
![]()
Na wewe uliwahudumia lini wasiojiweza?Hapo anawatumia vilema kujitafutia umaarufu.
Tayari ni maarufu..tafuta sababu nyingine wewe ajuzaHapo anawatumia vilema kujitafutia umaarufu.
kabisa...kumpa mtu chakula haimsaidii chochote