Picha: Mengi akigawa utajiri wake

Picha: Mengi akigawa utajiri wake

Jakaya ni Rais, kila alifanyalo linarekodiwa. Hana pakukwepa.

Unataka kufananisha kinyangarakata kile na Rais wa watu millioni zaidi ya 45? na mifugo yao, na ardhi yao, na mimea yao? Unanchekesha!
kama kila afanyalo anarekodiwa mbona hatujaoneshwa akiwa msalani!!??
 
uliwahi kusikia kuwa anawasomesha wao na hata mayatima? kwa nini asiwape elimu? hata hizo pesa anazojitangaza kuwasaidia walemavu huwapa mashikaji zake kama akina Likokola mwenye vikoba na walemavu hawazioni.
google.co.tz
 
Mahesabu si bora kuliko wezi wanaobeba fedha zetu kwa viroba na bado tunawachekea??
Mzee Mengi muungwana na habagui amewawezesha wengi!!
 
Last edited by a moderator:
Mi bado nashangaa!!!!! Hela za mtu katafuta kwa Jasho lake!! Eti namna ya kutumia anapangiwa atumie vipi!!!!

Kila mtu ana haki ya kufanya atakacho ata yeyote umu kama anauwezo anaweza kutimiza yale ambayo akuyafanya Mengi. Ni jukumu la kila mtu mwenye upendo na moyo kuwajali wanao ishi katika mazingira magumu. Chuki na majungu avisaidii zaidi sana mwenzetu Mungu anatambua afanyacho
 
Hapo anawatumia vilema kujitafutia umaarufu

Duh wewe mama ni shida nina wasiwasi na Uislam wako maana wewe ni mnafiki na mchonganishi uliyejaa wivu,hata ufanye nini Mengi humfikii kwa lolote ,pia ninavyo jua mimi mwanamke wa kiislam habishani na wanaume hivyo kama ufanyavo wewe mwanamke safi wa kiislam zake ni staha na unyenyekevu, sio kigego kama wewe.
 
Nasikia kila mwaka hutumia zaidi ya milioni 50 kuandaa shughuri hizo, ingekuwa jambo la maana zaidi kama hiyo pesa kila mwaka angekuwa anaitumia kuwalipia gharama za shule hao walemavu, Kwani wengi wao wanasoma shule za msingi na waliobahatika kuendelea ni ktk shule za kata, ambapo kwa kiwango hicho angewasaidia walemavu wengi sana kuliko kuwaita na kuwafariji kwa chakula na mziki wa masaa machache tu, huku wakikabiliwa na changamoto nyingi za kimaisha??? Mi nadhani washauri wake walione hili japo anajitahidi ila aangalie njia bora ya kuwasaidia zaidi ambayo itakuwa ya kudumu kwa wahusika nayo ni kupitia elimu.

Alishatoa zaidi ya Tsh. 200,000,000/= kwenye shule ya mama salma kiwete kusaidia watoto wa kike mwaka uliopita na akaahidi nyingine mwaka huu...ama kweli bora kumfadhili mbuzi, utakunywa hata supu ya utumbo...binadamu hawana shukrani
 
wengi akina nani? can you mention at least ten?

Watoto wa kike kwenye shuke ya mama salma remember zile milioni 200, na nyingine 200 atatoa mwaka huu, embu tutajie tajiri mwingine tz aliyowahi kufanya hivyo, labda bakhressa kila sikukuu ya idd, ndo anawapa vizee vya msikitini 10,000/= na nyama ya ngamia
 
Kwa hiyo roho mbaya yako I doubt..huwezi kumsaidia mtu wewe FaizaFoxy hata muislamu mwenzako! Huna roho hiyo

Waislam kula hatuhesabu kama ni msaada, kula ni rizki ambayo ikifungwa hata ushindiliwe haiingii.

Kuwaanika hao vilema kuwapa chakula na kuwatangaza kama umewafanyia cha maana sana ni kujitafutia umaarufu kwa wajinga walio wengi.
 
Waislam kula hatuhesabu kama ni msaada, kula ni rizki ambayo ikifungwa hata ushindiliwe haiingii.

Kuwaanika hao vilema kuwapa chakula na kuwatangaza kama umewafanyia cha maana sana ni kujitafutia umaarufu kwa wajinga walio wengi.

Sasa umaarufu gani anaoutafita Mengi? Viroja hivyo na chuki ulizonazo
 
"ukitaka kumlisha mtu ukimpa samaki utamtoa njaa kwa siku moja tu, mpe nyavu akavue, utamtoa njaa maisha yake yote"

Rough translation of a Chinese proverb.

Apo ndo mwisho wake wa kufikiri. Na kwakua ni chake, vipi umpangie namna ya kutumia!?!? Kwanini we ulie ona kasoro izo usiendeleze alipo achia Mengi?! Acha lawama zisizo na maana fanya nawewe sasa.
 
Back
Top Bottom