PICHA: Mafuriko yalikumba jiji la Dar es Salaam

PICHA: Mafuriko yalikumba jiji la Dar es Salaam

attachment.php
"
Hawa askari wamekasirishwa na nini sasa?
 
Wadadamu wanaangamia kwa Kukosa maarifa..... Mcheni Bwana kila Siku
 
aiseeeee hiii n noooomaaa...MUNGU ATUSAIDE SANA..
 
Duh, Mkuu nimefurahi sana kwamba huyo mama analilia posho! basi hana utu
 
_57520399_photo2.jpg
_57520115_photo.jpg

BBC News

Tanzania floods: Heavy rains inundate Dar es Salaam


At least 20 people have died in floods after unusually heavy rains hit Tanzania's main city of Dar es Salaam.
According to TMA, these are the heaviest rains Tanzania has experienced since independence in 1961.

International Business Times - World
208842.jpg


Rains, Floods Kill 23 in Tanzania Capital


Heavy rains and flooding since Tuesday have killed 23 people in Tanzania's capital of Dar es Salaam prompting President Jakaya Kikwete to call on residents in affected valleys and lowland areas to evacuate.

CNN

EM20111221180259darfloods2bmp-1941861_p9.jpg


It has been a second day for a non-stop excessive rainfall here in Dar es salaam which led to unexpected demage of the city, people are left homeless, some are missing and unfortunatelly some are found dead. The government have done a gret help so far, and they're still helping in the rescue, we are asking the world to pray for us. Patrick John Chacha, Dar es salaam, Tanzania.
​

[h=3]Images for floods in Dar es Salaam[/h] - Report images

[h=3]VIDEO: Tanzania Flooding after 'Months' of Rain[/h]
Flooding in Dar es Salaam
| Demotix.com



Floods wreak havoc in Tanzania - Africa - Al Jazeera English


Floods Sink Dar es Salaam > IGIHE - English Version
 
Vyombo vya habari rafiki wa JK kama CNN siku hizi havizungumzii mabaya ya Tanzania. Unaona hapo pongezi ''The government have done a gret help so far, and they're still helping in the rescue''
Huku katika ground wahanga wamemnunia JK...
Sawa wazungu, tupambeni tu kwa kuwa mnachukua Almasi, dhahabu na Uranium yetu. Ila kumbukeni hata China miaka 50 iliyopita ilikuwa kama sisi na sasa inawaokoa nyie. Ngoja tu tuimwage CCM mtaona tutakavyobana kwenye rasilimali zetu ili mtuchukie kama Ghadafi.
 
huyu mama makinda ni kwamba analia ama_...aache kamba zake hapa,kamwe siwezi kumwamini kwamba ana uchungu na walala hoi huyu...pumbafuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu....i hate her

Me tooo!!! unafiki umemjaa
 
Vyombo vya habari rafiki wa JK kama CNN siku hizi havizungumzii mabaya ya Tanzania. Unaona hapo pongezi ''The government have done a gret help so far, and they're still helping in the rescue''
Huku katika ground wahanga wamemnunia JK...
Sawa wazungu, tupambeni tu kwa kuwa mnachukua Almasi, dhahabu na Uranium yetu. Ila kumbukeni hata China miaka 50 iliyopita ilikuwa kama sisi na sasa inawaokoa nyie. Ngoja tu tuimwage CCM mtaona tutakavyobana kwenye rasilimali zetu ili mtuchukie kama Ghadafi.

lAZIMA WATOE PONGEZI KWA kIKWETE KWANI NDIYE ALIYEWARUHUSU KUENDELEA KUKAMUA UTAJIRI WA MALIASILI WA WATANZANIA NA KUUPELEKA KWAO.
 
HUO UNAITWA MTO MSIMBAZI NA SIO MFEREJI AU MTARO. HAO WATU NI WABISHI SANA.WALISHAWAHI HATA KUMROGA MKUU WA MKOA( Jina tuna lihifadhi kwa sababu za Maadili),ILI WASIHAMISHWE. WAKUU WA MIKOA WALIFUATIA WALIWAOGOPA HAO WATU. SASA WACHA WAJIFUNZE KUA MAJI HAYA SAHAU NJIA YAKE. HATUA ZA KUWACHUKULIA WATU HAWA, NI KUWAFUNGULIA MASHTAKA KWA KUISUMBUA SEREKALI AU KUWAPELEKA MILEMBE DODOMA.

Shindwa na imani zako za kishirikina
 
hivi mimi bado sifahamu
inakuwaje makampuni yatowe misaada na kuonesha kwenye TV na magazeti kama vile wana huruma sana mwisho wa mwaka wanelezea kuwa misaada kwenye TAX
Naomba maofisa wa kodi waorodheshe hii misaada yote na kila kampuni waliotowa wametowa kiasi gani
Hii ni maujanja ya kukwepa kodi Wadanganyika tutaibiwa mpaka lini ?
Sikatai kutowa misaada isipokuwa watatowa milioni moja na kuonesha kwenye TV wakati wa kulipa kodi wanaandika wametowa misaada milioni kumi

Nawasilisha
 
Inatisha sana kwakweli,mwenyezi mungu awapokee wote mliotamgulia kwake!!Lakini wadau mimi sioni kama ni ustaarabu kudisplay picha za ndugu zetu waliotangulia tena katika mazingira kama yale,jamani japo tumeshawapoteza lakini heshima yao kama binadamu iendelee kuwepo!Nchi nyingine ni kosa la kubwa kufanya hivyo na unashitakiwa!Huo ni mtazamo tu wadau msijrnge chuki!!
 
Back
Top Bottom