PICHA: Mafuriko yalikumba jiji la Dar es Salaam

PICHA: Mafuriko yalikumba jiji la Dar es Salaam

mkuu asante sana kwa picha nzuri za matukio haya. Vipi na huyu maza anamlilia yule jamaa kwenye picha namba tano?.
 
Asante sana mkuu kwa picha nzuri zote na hasa ya yule mama aliyekufa ndani ya maji.
ubarikiwe
nahisi ni matukio ya siku za mwisho.
 
Duuh! Balaa! Basi wataibuka watu watasema hizi ni kafara za freemasons! We subiri tu.
 
396018_262637840464354_100001544216110_703923_987432837_n.jpg


Huyu mtu alinusurika jamani au alitangulia mbele za haki.....kwa kweli serikali lazima ifanye maamuzi magumu. Kuendelea kuishi kwa mazoea ni kujifanya hatuoni hatari zinazotukabili kila wakati kukiwa na majanga ya asili kama haya.
 
serkali iwasaidie hahanga na wanaoishi mabondeni iwahamishe kwa lazima.
 
inatia machungu sana ... hii serikali kitakachofanyika ni propaganda tu siamini kama watachukua hatua za haraka
 
Huyu mtu alinusurika jamani au alitangulia mbele za haki.....kwa kweli serikali lazima ifanye maamuzi magumu. Kuendelea kuishi kwa mazoea ni kujifanya hatuoni hatari zinazotukabili kila wakati kukiwa na majanga ya asili kama haya.

Mtu aliye hai hawezi kukaa mkao huo mkuu....haswa katika mazingira kama hayo...R.I.P whoever he/she is...
 
Janga hili limekuja wakati mbaya kwani serikali imefilisika hivyo kuwahamisha itakuwa ni ndoto za alinacha!
 
huyu mama makinda ni kwamba analia ama_...aache kamba zake hapa,kamwe siwezi kumwamini kwamba ana uchungu na walala hoi huyu...pumbafuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu....i hate her

Analilia posho, hana uchungu na walala hoi, mnafiki
 
HUO UNAITWA MTO MSIMBAZI NA SIO MFEREJI AU MTARO. HAO WATU NI WABISHI SANA.WALISHAWAHI HATA KUMROGA MKUU WA MKOA( Jina tuna lihifadhi kwa sababu za Maadili),ILI WASIHAMISHWE. WAKUU WA MIKOA WALIFUATIA WALIWAOGOPA HAO WATU. SASA WACHA WAJIFUNZE KUA MAJI HAYA SAHAU NJIA YAKE. HATUA ZA KUWACHUKULIA WATU HAWA, NI KUWAFUNGULIA MASHTAKA KWA KUISUMBUA SEREKALI AU KUWAPELEKA MILEMBE DODOMA.
 
Poleni sana wenzetu lakini kuna kitu tujifunze hapa!

THIS IS GODS WAY OF CLEARING THINGS!

SERIKALI ITUMIE WAKATI HUU KUWEKA MISINGI YA UJENZI NA SHERIA KALI IKIWA NI PAMOJA NA KUTORUHUSU WALIOKUMBWA NA HII KADHIA KURUDIA MAKAZI YAO!
 
Hiyo maiti itakuwa mwanaume. Kwa kawaida maiti ya kiume inapokuwa kwenye maji inalala kifudifudi ya kike ina lala chali
 
It is terrible kwa kweli. Poleni wote mliofikwa na maafa haya
 
Mkuu unategemea Serikali taahira ijifunze chochote kutokana na maafa yanayoikuta nchi yetu? Soma hii thread ilianzishwa tangu 2007 lakini katika bajeti zilizofuata haikutengwa hata senti moja ili kuboresha miundo mbinu ya jiji la Dar na majiji mengine ili kuepuka au kupunguza maafa katika majanga kama haya. Walisema hayawi hayawi sasa yamekuwa....Wananchi wengi wamepoteza maisha yao na kuingia hasara kubwa sana kutuokana na kutokuwa na sera zozote za kuboresha miundo mbinu mbali mbali ya nchi yetu.

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/13171-dar-tambarare-mvua-mafuriko-na-usahaulifu-6.html



Nilidhani Serikali yetu inajifunza baada ya matukio makubwa yakitokea kama mkuu wa nchi alivyosema baada ya tukio la Nungwi aliposema 'serikali imeliona tatizo na wengi wasingefariki kama tungekua na life jackets na boti za uokoji za kutosha. Tulishuhudia maisha ya watanzania yakipotea kwenye ajari ya Mv. Bukoba na sasa ni Mv. Island sasa na inaonekana vwanzo vinafanana. Serikali imeliona hili na tutahakikisha tatizo kama hili halitokei tena kwa kuhakikisha tunavifaa vya uokoaji vya kutosha' Swari langu kwa serikali na huyo mkuu wake, je hivyo vifaa bado havijanunuliwa? Na je nikweli serikali inajifunza baada ya makosa kutokea? Mimi kama mimi naona hakuna kitu kama hicho bali ninachoona nikwamba SERIKALI YETU HAIJALI WANANCHI WAKE.
 
Back
Top Bottom