PICHA: Mafuriko yalikumba jiji la Dar es Salaam

*******************.
Join Date : 21st December 2011
Location : Dar Es Salaam
Posts : 1
Kwa nini hujatumia ID yako ya kila siku.
Sasa hivi umeingia na ID mpya ili tu kuweka upuuzi wako huu?
Tena ndo post ya kwanza.
Jiamini tu, ungetumia your usual ID.
Moron.
 
mabomu yapo salama yanasubiri mvua tu imalize kazi yake yapate kuanza kazi tena mara hii yatalipukia kwenye mabaa ya sinza
 
Asiyesikia la mkuu huvunjika guu. Takriban miaka 40 baada ya wananchi hasa wa Kariakoo kukataa mji usijengwe upya ilani ilitolewa kuhamia Idodomia chacha nyie mlifikiri waliosema hivyo ni wajinga kaeni na ujanja wenu chacha.

Hapa ndio unafahamu kabisa kwamba hii nchi haina viongozi ina mazezeta. Wanasubiri kuwakamua walipa kodi kwa kujilipa. Je, wananchi wa Dar hivi sasa wanachukua uamuzi gani kuhusu hii serikali?
 
P%2B7.jpg
 
P%2B3.jpg
Hebu soma nyuso zao!
Hakuna mwenye uhakika wa kufika "pwani"
Sad!
 
Back
Top Bottom