PICHA: Mafuriko yalikumba jiji la Dar es Salaam

PICHA: Mafuriko yalikumba jiji la Dar es Salaam

Pole kwa mliopatwa na maafa mabondeni lakini iwe somo ya kuwa tukiambiwa eneo hili tusijenge tusiwe na kiburi
 
huyu mama anatia kichefuchefu jaman! huyu **** anajifanya analia kinafiki pumbavuuu wa mwisho kabisa.
 
inasikitisha na inaonyesha jinsi ambavyo CCM na serikali yake isivyo na mipango madhubuti kwa maisha ya wanyonge.mfano china wamewajengea maskini nyumba za kudumu katikati ya jiji la beijing ili wasipate shida kufanya kazi zao ndogondogo, je ccm inashindwa nn?
 
P%2B3.jpg
Hebu soma nyuso zao!
Hakuna mwenye uhakika wa kufika "pwani"
Sad!

Chonka abanasiasa nowa ayabalamile yaani timwina ukola kintu bila coverage! shame on u!
 
pamoja na kuwasaidia, nawashauri wasirudi mabondeni kwa ccm haitawasaidia maji au mafuriko yakitokea kwani wanaweza kufa kama inzi, no body cares
 
Ndugu zangu wa kule kyela,kilombero hawachelewi kukuambia mbona uku kwetu ni hali ya kawaida iyo.
Poleni mliofikwa na yote hayo
 
jangwani hapo
406277_10150439474169366_548314365_8643829_1488863701_n.jpg

Mafuriko haya yanaibua maengi ambayo yalibaki mafichoni. Makazi haya jijini Dar tunaposherehekea miaka 50 na kauli mbiu ya"TUMETHUBUTU, TUMEWEZA NA SASA TUNASONGA MBELE" ni aibu tupu.

Picha hii imenifikirisha ambayo inaakisi hali ya maisha ya wengi ambayo wengi wao wamekata matumaini ya kuhuishwa na hali ngumu ya maisha. Kupata misha bora kwa kila mtanzania ni ndoto za usanii wa wanasiasa kinyume cha hali halisi ya maisha.

Kumbe malapulapu ndio nyenzo za kuezekea nyumba? Matairi ya magari ndio mizumari ya kushikizia malapulapu kwenye nyumba za hawa ndugu zangu, mama zangu, kaka zangu, dada zangu, shangzi wangu, rafiki zangu, wananchi wenzangu, watanzania wenzangu? Hakika inasikitisha na kutia huruma, naishiwa cha kuongeza,
 
21122011297-001.jpg



21122011279-001.jpg
Hapo kuna mhanga aliyekokotwa na maji toka Segerea akisubiri msaada

21122011251-002.jpg


21122011261-002.jpg


21122011262-002.jpg


21122011265-002.jpg


21122011266-002.jpg


20122011235.jpg

Hapa yalikwa yakipita magari enzi hizo. ikafika wakati pikipiki ikawa ishu. sasa hata mtu hapiti. bado nyumba hiyo tu kubebwa
 
mhh!! kweli ni vigumu kuelezea, pole kwa wote walio kumbwa na mafuriko.
 
Aisee kwa kweli *ni vigumu sana kuelezea hii,jamaa wako sahihi na msg yao
 
Hatuna budi kumshukuru Mungu wale ambao tumepona na hatujaathiriwa moja kwa moja na janga hili...Tuwaombee watanzania wenzetu jaman..Mpaka jumapili jioni walikuwa wanacheka kwenye majumba yao hao,lakini jumatatu jioni hali ilikuwa tofauti..Tumshukuru Mungu kwa kila jambo,hakuna anaejua kesho ipoje...
 
waliozembea kutimiza wajibu wao ndio walaumiwe wawe wakaazi au la, tukisema watu waling'an'gania inakuwa kulaumu upande mmoja . kwani niking'an'gania kujenga kujenga kwenye viwanja vya ikulu wataniachia tu kwa sababu nimeng'ang'ania? . huko mabondeni kuna huduma za afya, biashara za maana tu na nguzo za umeme kibao ziki supply umeme kwenye hayo "makazi haramu" ambazo ndio zimekuwa chanzo cha vifo na majeraha kwa wale walipigwa shoti za umeme na wale walioangukiwa na kuta zilizoangukiwa na milingoti.
baada ya mafuriko haya asirudi mtu huko, kwanza mali zote na nyumba nyingi tu zimeshapotea anyway, mbaya zaidi maisha ya watu. tatizo ni kwamba wiki ijayo watu watarudi huko watajenga vibanda vya mabati maisha yataendelea, hadi masika ijayo
 
ni kweli kuwa inabidi tumshukuru sana Mungu. Kama halijakukumba huwezi ona uzito wake. Nyumba zinafunikwa na maji!
 
Huyu mama amechanganyikiwa anatakiwa akapimwe akili, Pia inabidi mheshemiwa anatakiwa kuangalia Uwezo wa kufikiiri kabla ya kuwateua wasidizi wake. Ndo maana mambo yanemwendea mrama.
 
Back
Top Bottom