mr.sylvestre
JF-Expert Member
- Jul 20, 2011
- 252
- 298
Taratibu za kijeshi ziko identical dunia nzima,
Si rahisi raia wa kawaida kuelewa hii.Ndiyo maana unasema ameiga
Si rahisi raia wa kawaida kuelewa hii.Ndiyo maana unasema ameiga
PointPengine pia ni mkaz wa hilo eneo
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Tatzo unajifanya unajua wakati hujui na bahati mbaya hujui kwamba hujui. Kwaakili hyo ya kujifanya unajua wajati hujui hutakuja kujua milele utaishia na kauli za kipumbavu..View attachment 540844
Huyo askar kwenye picha bila shaka alifuatilia matukio ya kigaidi huko ufaransa kwenye tv na kuwaona makomandoo wa huko wakivaa kininja (balaclava) naye akapiga timingi matukio ya kibiti akaamua atoke hivyo. Utadhani kinyago.
View attachment 540842 View attachment 540843
Iga ufe!
AsanteJeshi lolote lile Lina nidhamu zake hawezi Askari kuiga tu bila kuwa na sababu ambayo inakubalika na uongozi wake.
Waheshimu Jeshi letu, lolote lile, wanajitolea nafsi na maisha yao kutufanya sisi tulale salama.
Hata uwepo wako JF kwa kujinafas unawategemea hao hao walinda usalama wetu.
Ahsanteni sana vijana kwa kutulinda katika mazingira magumu. Msikatishwe tamaa na mapunguani wachache wasio na fikra.
Ujkt unakusumbuaPolisi siyo Jeshi...Ni Idara(Idara ya Polisi)
shi mkuu,kaangalie sheria iliyoanzisha jeshi hilo,katiba imetoa mamlaka kwa sheria nyingine kuanzishwa majeshi ya ulinzi na usalama kadri jamhuri inavyoona inafaa.Polisi siyo Jeshi...Ni Idara(Idara ya Polisi)
Wewe ndio punguani haswaaaJeshi lolote lile Lina nidhamu zake hawezi Askari kuiga tu bila kuwa na sababu ambayo inakubalika na uongozi wake.
Waheshimu Jeshi letu, lolote lile, wanajitolea nafsi na maisha yao kutufanya sisi tulale salama.
Hata uwepo wako JF kwa kujinafas unawategemea hao hao walinda usalama wetu.
Ahsanteni sana vijana kwa kutulinda katika mazingira magumu. Msikatishwe tamaa na mapunguani wachache wasio na fikra.
Jeshi ni moja tuuu...(JWTZ)Ujkt unakusumbua
Post sent using JamiiForums mobile app
Hakuna Nchi yenye majeshi zaidi ya moja....Kiswahili ni lugha masikini sana hivyo haina misamuati ya Kutosha..polisi ni je
shi mkuu,kaangalie sheria iliyoanzisha jeshi hilo,katiba imetoa mamlaka kwa sheria nyingine kuanzishwa majeshi ya ulinzi na usalama kadri jamhuri inavyoona inafaa.
Hizi post ni za askari wa jwtz mara nyingi form four wenye D mbili ndo hua wanapenda kubishana ubishi usiokua na maana kama huu, eti jeshi ni jwtz.Jeshi ni moja tuuu...(JWTZ)
Zingine ni Idara au Paramillitary..
Idara ya Polis
Idara ya Uhamiaj
Idara ya Magereza
Idara ya Zimamoto
Hamna ni mbwembwe tu hizoKwa mtazamo wangu hakuvaa kifaa hicho kwa bahati mbaya.
Ni wazi alikuwa anaficha utambulisho wake, sababu inawezekana si mmoja wa hilo jeshi lililopo hapo eneo la tukio. Pengine yeye ni mwanajeshi wa jeshi la wananchi, inawezekana ni kiongozi mkubwa tu wa moja ya majeshi ya tz, au ni mfanyakazi wa idara ya serikali au taasisi binafsi -hapo kaenda kwa kazi maalum
Hilo povu ulilotoa linajaza karai kabisa.Tatzo unajifanya unajua wakati hujui na bahati mbaya hujui kwamba hujui. Kwaakili hyo ya kujifanya unajua wajati hujui hutakuja kujua milele utaishia na kauli za kipumbavu..
Pole sana....Hizi post ni za askari wa jwtz mara nyingi form four wenye D mbili ndo hua wanapenda kubishana ubishi usiokua na maana kama huu, eti jeshi ni jwtz.
Tafuta hela uishi vizuri kujisifia kazi na rangi ya nguo ni uvivu wa kufikiri, wenye vyeo vyao wametulia we kajamba nani ndo unahangaika
Nothing is easier than blaming others for your own problems
Kama unafanya kazi kishabiki usitegemee kutoka kimaisha.Pole sana....
Aaaaaaha!! Ingia kwenye 18 zao ndo utajua Polisi ni jeshi au idara ya mkonge?Jeshi ni moja tuuu...(JWTZ)
Zingine ni Idara au Paramillitary..
Idara ya Polis
Idara ya Uhamiaj
Idara ya Magereza
Idara ya Zimamoto
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Aaaaaaha!! Ingia kwenye 18 zao ndo utajua Polisi ni jeshi au idara ya mkonge?
Post sent using JamiiForums mobile app