Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,618
- 27,599
Jamani nyie watu wa humu siwawezi
No research no right to speak sawa rudi wakakueleweshe tena sio umeambiwa soma ujue ukweli Mara hakuna nchi yenye majesh mawili Mara hivi jua kwamba kila nchi na mfumo wake na taratibu zake kwenye usalama na katiba yake sasa mfumo wa tz jeshi haliko moja kwa mfumo wetu wa ulinziMimi ni Si Mwanajeshi ila ni mtu ninayependa kufuatilia mambo...Kwenye maonesho ya Sabasaba kwenye banda la Jeshi niliwaomba wanieleweshe..nikapewa vijarida...
View attachment 540844
Huyo askar kwenye picha bila shaka alifuatilia matukio ya kigaidi huko ufaransa kwenye tv na kuwaona makomandoo wa huko wakivaa kininja (balaclava) naye akapiga timingi matukio ya kibiti akaamua atoke hivyo. Utadhani kinyago.
View attachment 540842 View attachment 540843
Iga ufe!
Kwa mtazamo wangu hakuvaa kifaa hicho kwa bahati mbaya.
Ni wazi alikuwa anaficha utambulisho wake, sababu inawezekana si mmoja wa hilo jeshi lililopo hapo eneo la tukio. Pengine yeye ni mwanajeshi wa jeshi la wananchi, inawezekana ni kiongozi mkubwa tu wa moja ya majeshi ya tz, au ni mfanyakazi wa idara ya serikali au taasisi binafsi -hapo kaenda kwa kazi maalum
nipeni kifungu cha katiba kinachotamka jeshi ni moja yaani jwtz na hakuna mamlaka kuanzisha vikosi na majeshi mengine kwa mujibu wa sheria,pia rejea na sheria ya usalama wa taifa ya mwaka 67,ya mwaka 75 na zingine ambazo zinatambua majeshi mengine na utuambie mkuu,lengo kujua si kubishana
inawezekana akawa ni yeyeMwigulu?
Kizazi hiki hakuna aliyeenda jeshini kwa kujitolea,Jeshi lolote lile Lina nidhamu zake hawezi Askari kuiga tu bila kuwa na sababu ambayo inakubalika na uongozi wake.
Waheshimu Jeshi letu, lolote lile, wanajitolea nafsi na maisha yao kutufanya sisi tulale salama.
Hata uwepo wako JF kwa kujinafas unawategemea hao hao walinda usalama wetu.
Ahsanteni sana vijana kwa kutulinda katika mazingira magumu. Msikatishwe tamaa na mapunguani wachache wasio na fikra.
asante sana mama faiza foxy tunashukuru kwa kututia nguvu tunapitia magumu mengi sana cc makamanda raia awajui tuu kazi tunayoifanya bye the way tutajitolea maisha yetu ili tu nyny muwe salama raia wetu cku zoteJeshi lolote lile Lina nidhamu zake hawezi Askari kuiga tu bila kuwa na sababu ambayo inakubalika na uongozi wake.
Waheshimu Jeshi letu, lolote lile, wanajitolea nafsi na maisha yao kutufanya sisi tulale salama.
Hata uwepo wako JF kwa kujinafas unawategemea hao hao walinda usalama wetu.
Ahsanteni sana vijana kwa kutulinda katika mazingira magumu. Msikatishwe tamaa na mapunguani wachache wasio na fikra.
Tunalijali jeshi letu tunaelewa linafanya kazi kubwa sana na muhimu. Kuna nchi za Jirani mpaka leo hii kuna barabarani hazipitiki usiku wala mchana. Kuna wengi hawayajuwi hayo. Leo sisi tujajivuna kwa ajili ya jeshi letu na nidhamu yao ya hali ya juu walikuwa hayo.asante sana mama faiza foxy tunashukuru kwa kututia nguvu tunapitia magumu mengi sana cc makamanda raia awajui tuu kazi tunayoifanya bye the way tutajitolea maisha yetu ili tu nyny muwe salama raia wetu cku zote
#JWTZ#Lutern mdogo kuliko wote JWTZ#mkunungu....
Post sent using JamiiForums mobile app
Inaonesha huelewi maana na consequences ukiambiwa na Jeshi "tawanyika" kwa mdomo na kwa maandishi, halafu wewe unamfata kamanda wao! Hapo uelewe askari jeshi anakuuwa tu, mengine baadae.
Huo ndiyo ukweli. Wale FFU mafunzo yao ni kufata amri tu. Hawafundishwi kufikiri hata kidogo. Mwenye kufikiri ni kamanda wao tu na focus yao yote iko kwake. Kumbuka hilo.
Umepita JKT wewe kweli?hamna bana ni mbwembwe tu za kuiga
Hakuna Soldier hapo, hao ni raia wanaoitwa polisi.Laiti ungejua ungejifunza mengi![]()
Hahaha ka KinyagoView attachment 540844
Huyo askar kwenye picha bila shaka alifuatilia matukio ya kigaidi huko ufaransa kwenye tv na kuwaona makomandoo wa huko wakivaa kininja (balaclava) naye akapiga timingi matukio ya kibiti akaamua atoke hivyo. Utadhani kinyago.
View attachment 540842 View attachment 540843
Iga ufe!
Hasara kwa taiga wew mtoa mada MPAKA SAS haujui mambo ya kiusalamaaView attachment 540844
Huyo askar kwenye picha bila shaka alifuatilia matukio ya kigaidi huko ufaransa kwenye tv na kuwaona makomandoo wa huko wakivaa kininja (balaclava) naye akapiga timingi matukio ya kibiti akaamua atoke hivyo. Utadhani kinyago.
View attachment 540842 View attachment 540843
Iga ufe!
Tatizo la mleta mada ameathirika sana na uzungu
Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app