Eti ka kinyago!View attachment 540844
Huyo askar kwenye picha bila shaka alifuatilia matukio ya kigaidi huko ufaransa kwenye tv na kuwaona makomandoo wa huko wakivaa kininja (balaclava) naye akapiga timingi matukio ya kibiti akaamua atoke hivyo. Utadhani kinyago.
View attachment 540842 View attachment 540843
Iga ufe!
hamna bana ni mbwembwe tu za kuigaKwa mtazamo wangu hakuvaa kifaa hicho kwa bahati mbaya.
Ni wazi alikuwa anaficha utambulisho wake, sababu inawezekana si mmoja wa hilo jeshi lililopo hapo eneo la tukio. Pengine yeye ni mwanajeshi wa jeshi la wananchi, inawezekana ni kiongozi mkubwa tu wa moja ya majeshi ya tz, au ni mfanyakazi wa idara ya serikali au taasisi binafsi -hapo kaenda kwa kazi maalum
Jeshi lolote lile Lina nidhamu zake hawezi Askari kuiga tu bila kuwa na sababu ambayo inakubalika na uongozi wake.hamna bana ni mbwembwe tu za kuiga
hao walimuheshimu daudi mwangosi? Tangu lini wakajitolea kwa ajili yetu ka si kwanynyi watawala was ccmJeshi lolote lile Lina nidhamu zake hawezi Askari kupiga tu bila kuwa na sababu ambayo inakubalika na uongozi wake.
Waheshimu Jeshi letu, lolote lile, wanajitolea nafsi na maisha yao kutufanya sisi tulale salama.
Hata uwepo wako JF kwa kujinafas unawategemea hao hao walinda usalama wetu.
Ahsanteni sana vijana kwa kutulinda katika mazingira magumu. Msikatishwe tamaa na mapunguani wachache wasio na fikra.
Mwangosi aliheshimu jeshi lilipomwambia aondoke?hao walimuheshimu daudi mwangosi? Tangu lini wakajitolea kwa ajili yetu ka si kwanynyi watawala was ccm
Acha urongo basiiKwa mtazamo wangu hakuvaa kifaa hicho kwa bahati mbaya.
Ni wazi alikuwa anaficha utambulisho wake, sababu inawezekana si mmoja wa hilo jeshi lililopo hapo eneo la tukio. Pengine yeye ni mwanajeshi wa jeshi la wananchi, inawezekana ni kiongozi mkubwa tu wa moja ya majeshi ya tz, au ni mfanyakazi wa idara ya serikali au taasisi binafsi -hapo kaenda kwa kazi maalum
Eti, yule dogo aliyeuwawa dar akisema allah wakibar alikuwa gaidi au sio?Mwangosi aliheshimu jeshi lilipomwambia aondoke?
Angesema Allah Akbar wasingemuuwaMwangosi aliheshimu jeshi lilipomwambia aondoke?
perfectAcha utoto.
Hizo ni uniform kwa kazi maalum.
Kuna mavazi mengi ya kazi ambayo raia huwezi kuyajua.
Eti, yule dogo aliyeuwawa dar akisema allah wakibar alikuwa gaidi au sio?
Namzungumzia Yusuf Almas, aliyekuwa imam msaidizi wa msikiti wa kurasini na mwanafunzi pale udsmSifahamu unaemuongelea nani labda uongezee nyama katika swali lako ili ueleweke, Dar wanauliwa wengi tu.