Hakuna Nchi yenye majeshi zaidi ya moja....Kiswahili ni lugha masikini sana hivyo haina misamuati ya Kutosha..
Jeshi ni moja tu(JWTZ)
Zingine ni Idara mbalimbali
Idara ya Polisi
Idara ya Magereza
Idara ya Zimamoto
Idara ya Uhamiaji
Mkuu inaonekana huelewi lolote kuhusu Jeshi.Jitahidi kujielimisha maana kwa upande huu upo mtupu kabisa.
Hivi unajua Jen.Mabeyo anaitwa Mkuu wa Majeshi na sio Mkuu wa Jeshi?.