Picha: Jeshi letu bana kwa kuiga tu

Picha: Jeshi letu bana kwa kuiga tu

Jeshi lolote lile Lina nidhamu zake hawezi Askari kuiga tu bila kuwa na sababu ambayo inakubalika na uongozi wake.

Waheshimu Jeshi letu, lolote lile, wanajitolea nafsi na maisha yao kutufanya sisi tulale salama.

Hata uwepo wako JF kwa kujinafas unawategemea hao hao walinda usalama wetu.

Ahsanteni sana vijana kwa kutulinda katika mazingira magumu. Msikatishwe tamaa na mapunguani wachache wasio na fikra.
Mungu akubariki

Sent from my SM-G920T using JamiiForums mobile app
 
Watu wakisha kula na kuvimbiwa maharange ndiyo wanaokuwa na dharau kama mleta thread......

Kuna watu wengine hapa wanadharau jeshi letu wakati ukiwaambia wakatize mchana barabara ya kibiti hadhubutu, embu fikiria jeshi hilo hilo mnalo lidharau wanaacha kulala na familia zao usiku wanaenda kulinda huko usiku, ili wew ulale usingizi mnono na mkeo hapo kitandani

Kuna umuhimu sasa wa Max Melo kushirikiana na jeshi la polisi kuwapa detail za watu kama mleta thread huenda akawa na mfungamano au uhusiano wa karibu na hao magaidi...
 
walinyooshewa mtutu au kulazimishwa wajiunge. Kama vipi wanaacha tu. Kwani wanafanya bure??? Sisi hao tunaolala wanatulinda si tunalipa kodi?

Wee vipi!!!??😡😡
 
Mkuu uliona wanajeshi wakielekea huko au unaongea tu boss
Sasa mkuu wewe ulizia mtu yoyote anayeishi pembezoni mwa kilwa road!! Kuanzia mtongani, mbagala na kuendelea,, kila mala yanapita kama magari matano yamejaza wanajeshi na wako kamili kweli kweli!! Hata hao wanao fanya mauaji huko mmm!! Wana moyo kwani jamaa wanatisha sasa wakukamate!!!
 
Acha utoto.
Hizo ni uniform kwa kazi maalum.
Kuna mavazi mengi ya kazi ambayo raia huwezi kuyajua.
Nahisi atakuwa amekuelewa.

Mtoa mada kama hajui kitu aulize kwanza.....Anazani jeshini kuna kukurupuka katika mavazi tu?? Haipo hio

siko vile nilivyokuwa, haimaanishi nipo tofauti.
 
Jeshi lolote lile Lina nidhamu zake hawezi Askari kuiga tu bila kuwa na sababu ambayo inakubalika na uongozi wake.

Waheshimu Jeshi letu, lolote lile, wanajitolea nafsi na maisha yao kutufanya sisi tulale salama.

Hata uwepo wako JF kwa kujinafas unawategemea hao hao walinda usalama wetu.

Ahsanteni sana vijana kwa kutulinda katika mazingira magumu. Msikatishwe tamaa na mapunguani wachache wasio na fikra.
Walishindwa kulinda za escrow unakumbuka?

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Maneno yote yamemalizwa hapa, lakini alivyovaa huyo askari amevaa kulingana na sare zao na kama kitu hakipo kwenye moja ya sare askari hawezi kuongezea yeye kama yeye, wapo askari wahuni lakini sio kwenye mavazi, hiyo ni sehemu moja ya mavazi.
[emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

sent from my Samsung smart tv using JamiiForums
 
Jeshi lolote lile Lina nidhamu zake hawezi Askari kuiga tu bila kuwa na sababu ambayo inakubalika na uongozi wake.

Waheshimu Jeshi letu, lolote lile, wanajitolea nafsi na maisha yao kutufanya sisi tulale salama.

Hata uwepo wako JF kwa kujinafas unawategemea hao hao walinda usalama wetu.

Ahsanteni sana vijana kwa kutulinda katika mazingira magumu. Msikatishwe tamaa na mapunguani wachache wasio na fikra.
Punguani ni wewe unayekojoa kwa kuchuchumaa.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Huyo atakuwa yule jamaa wa shilawadu ameenda kunyapia KIBITI
 
Sasa kaiga nini hapo?
Kuvaa hivyo kuna kuiga?
Kama ukisema kuiga basi hata bunduki zenyewe sio zetu tumeiga kwa watu wengine sisi vyetu virungu,mikuki,sime na pinde.

Hili halikuhitaji kuanzisha mada jamiiforums.

Nothing is easier than blaming others for your own problems
 
Kwa mtazamo wangu hakuvaa kifaa hicho kwa bahati mbaya.
Ni wazi alikuwa anaficha utambulisho wake, sababu inawezekana si mmoja wa hilo jeshi lililopo hapo eneo la tukio. Pengine yeye ni mwanajeshi wa jeshi la wananchi, inawezekana ni kiongozi mkubwa tu wa moja ya majeshi ya tz, au ni mfanyakazi wa idara ya serikali au taasisi binafsi -hapo kaenda kwa kazi maalum
Jawabu lako swadakta!mleta hoja fikra kinzani imemzidi kaleta hoja yake na kuhitimisha kabisa !

Post sent using JamiiForums mobile app
 
hao walimuheshimu daudi mwangosi? Tangu lini wakajitolea kwa ajili yetu ka si kwanynyi watawala was ccm
Mkuu bakisha maneno ,hivi ikitokea siku askari wanegoma wale panya road unawafanyaje?wewe unapolala na mkeo/mumeo wenzako 24/7 wanashughulika na usalama wako.
Tujifunze ku appreciate kazi za watanzania wenzetu na tupunguze siasa katika kila tatizo na hii kwa pande zote hata serikali!

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Mleta mada umepanic

Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom