Picha: Jeshi letu bana kwa kuiga tu

Picha: Jeshi letu bana kwa kuiga tu

Kwa mtazamo wangu hakuvaa kifaa hicho kwa bahati mbaya.
Ni wazi alikuwa anaficha utambulisho wake, sababu inawezekana si mmoja wa hilo jeshi lililopo hapo eneo la tukio. Pengine yeye ni mwanajeshi wa jeshi la wananchi, inawezekana ni kiongozi mkubwa tu wa moja ya majeshi ya tz, au ni mfanyakazi wa idara ya serikali au taasisi binafsi -hapo kaenda kwa kazi maalum
Mkuu kuna watu hata kufikiri jambo dogo kama hilo hawawezagi, afu hata post yenyewe kaitoa kidharau wakati jioni akidakwa na masela wakampora simu atakimbilia polisi

Sent from my TECNO-W3LTE using JamiiForums mobile app
 
View attachment 540844
Huyo askar kwenye picha bila shaka alifuatilia matukio ya kigaidi huko ufaransa kwenye tv na kuwaona makomandoo wa huko wakivaa kininja (balaclava) naye akapiga timingi matukio ya kibiti akaamua atoke hivyo. Utadhani kinyago.
View attachment 540842 View attachment 540843

Iga ufe!
Nilitaka kukujibu kitaalamu lakini nimeona tayari umeshajibiwa na baadhi ya watu vizuri. Kilichonifanya niandike ni hisia kuwa huenda wewe ni mmoja wa wanaosumbua Kibiti kutokana na unavyozidi kuwabishia wanaokujibu kwa ufasaha. Nafikiri unatafuta habari kujua hao walioficha sura na kuvaa body armour wanautofauti gani na wenzao. Nafikiri mlioko kwenye dola msiwapuuze watu wanaotoa maoni ya ajabu ajabu kama hawa maana ama wanazo taarifa za wahalifu au wao ni wahalifu. Wachunguzeni tu kuna kitu mtapata.

Sent from my MediaPad T1 8.0 using JamiiForums mobile app
 
Tafuta habari zake, halafu linganishaHebutafutalinganisako no 8 na 11
Simfahamu, kwani wewe unamfahamu kuwa ni gaidi?
Nilitaka kukujibu kitaalamu lakini nimeona tayari umeshajibiwa na baadhi ya watu vizuri. Kilichonifanya niandike ni hisia kuwa huenda wewe ni mmoja wa wanaosumbua Kibiti kutokana na unavyozidi kuwabishia wanaokujibu kwa ufasaha. Nafikiri unatafuta habari kujua hao walioficha sura na kuvaa body armour wanautofauti gani na wenzao. Nafikiri mlioko kwenye dola msiwapuuze watu wanaotoa maoni ya ajabu ajabu kama hawa maana ama wanazo taarifa za wahalifu au wao ni wahalifu. Wachunguzeni tu kuna kitu mtapata.

Sent from my MediaPad T1 8.0 using JamiiForums mobile app
Humu jf siku hizi kuna polisi wengi sana
 
Kwa mtazamo wangu hakuvaa kifaa hicho kwa bahati mbaya.
Ni wazi alikuwa anaficha utambulisho wake, sababu inawezekana si mmoja wa hilo jeshi lililopo hapo eneo la tukio. Pengine yeye ni mwanajeshi wa jeshi la wananchi, inawezekana ni kiongozi mkubwa tu wa moja ya majeshi ya tz, au ni mfanyakazi wa idara ya serikali au taasisi binafsi -hapo kaenda kwa kazi maalum
Au ni mtu ambaye amezaliwa katika maeneo hayo na anayafahamu na kufahamika vizuri.
 
Kwa mtazamo wangu hakuvaa kifaa hicho kwa bahati mbaya.
Ni wazi alikuwa anaficha utambulisho wake, sababu inawezekana si mmoja wa hilo jeshi lililopo hapo eneo la tukio. Pengine yeye ni mwanajeshi wa jeshi la wananchi, inawezekana ni kiongozi mkubwa tu wa moja ya majeshi ya tz, au ni mfanyakazi wa idara ya serikali au taasisi binafsi -hapo kaenda kwa kazi maalum
View attachment 540844
Huyo askar kwenye picha bila shaka alifuatilia matukio ya kigaidi huko ufaransa kwenye tv na kuwaona makomandoo wa huko wakivaa kininja (balaclava) naye akapiga timingi matukio ya kibiti akaamua atoke hivyo. Utadhani kinyago.
View attachment 540842 View attachment 540843

Iga ufe!
kwa ukweli wengi hawapendi kueshimu na kutambua fani za wengine na watanzania wanaongoza,ile kazi mtu kasomea,hakuna kitu kinachofanywa bila utaratibu,hata gwaride la uhuru au muungano au mashujaa askari hajiamulii avae nn?
kuhusu kuinga hata hii mitandao na elimu tumeiga hatukuwa na mfumo huu wa elimu,inawezekana una miliki simu ya thamani sana,ujue nayo tumeiga tz hatujawai tengeneza simu yetu ambayo ni made in bongo
 
Kwa mtazamo wangu hakuvaa kifaa hicho kwa bahati mbaya.
Ni wazi alikuwa anaficha utambulisho wake, sababu inawezekana si mmoja wa hilo jeshi lililopo hapo eneo la tukio. Pengine yeye ni mwanajeshi wa jeshi la wananchi, inawezekana ni kiongozi mkubwa tu wa moja ya majeshi ya tz, au ni mfanyakazi wa idara ya serikali au taasisi binafsi -hapo kaenda kwa kazi maalum
Mwambie, Hawa watu humu Rais mkapa akisema wapumbavu humaanisha kweli ( although I'm not in favour but sometimes I admit stupidity)
Jack of all trades master on none!

Sent from my Vodafone 785 using JamiiForums mobile app
 
Jeshi lolote lile Lina nidhamu zake hawezi Askari kuiga tu bila kuwa na sababu ambayo inakubalika na uongozi wake.

Waheshimu Jeshi letu, lolote lile, wanajitolea nafsi na maisha yao kutufanya sisi tulale salama.

Hata uwepo wako JF kwa kujinafas unawategemea hao hao walinda usalama wetu.

Ahsanteni sana vijana kwa kutulinda katika mazingira magumu. Msikatishwe tamaa na mapunguani wachache wasio na fikra.
c8aa1b618591ff444c1e794e82c98f28.jpg
 
View attachment 540844
Huyo askar kwenye picha bila shaka alifuatilia matukio ya kigaidi huko ufaransa kwenye tv na kuwaona makomandoo wa huko wakivaa kininja (balaclava) naye akapiga timingi matukio ya kibiti akaamua atoke hivyo. Utadhani kinyago.
View attachment 540842 View attachment 540843

Iga ufe!
Tafadhali sana omba hata msamaha , ulichoandika si kizuri, ila "ashupazae shingo yake ....."
Uhuru kama huu ndo mnauita haki za binadam eeh? Kutoa maoni ya maudhui haya?
Ushawai shiriki operation yeyote ya kulinda amani?

Sent from my Vodafone 785 using JamiiForums mobile app
 
Kwa mtazamo wangu hakuvaa kifaa hicho kwa bahati mbaya.
Ni wazi alikuwa anaficha utambulisho wake, sababu inawezekana si mmoja wa hilo jeshi lililopo hapo eneo la tukio. Pengine yeye ni mwanajeshi wa jeshi la wananchi, inawezekana ni kiongozi mkubwa tu wa moja ya majeshi ya tz, au ni mfanyakazi wa idara ya serikali au taasisi binafsi -hapo kaenda kwa kazi maalum
Hao wote ni polisi.
 
Lengo la mleta mada ni kupata taarifa za majeshi yetu yaliyopo huko, tuwe makini.
 
hakuna cha using hapa hili jeshi liko kwa ajili ya hili lichama tu sI wengine tunajilinda. Mbona bado hawajawakamata vidume huko kibiti
hivi hoja yako ni ipi sasa? mask au una tatizo gani na jeshi la polisi, boya sana wewe hujui lolote kuhusu masuala ya kijeshi na mission tools & kits za kijeshi/ polisi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom