Picha: Jeshi letu bana kwa kuiga tu

Picha: Jeshi letu bana kwa kuiga tu

Jeshi lolote lile Lina nidhamu zake hawezi Askari kuiga tu bila kuwa na sababu ambayo inakubalika na uongozi wake.

Waheshimu Jeshi letu, lolote lile, wanajitolea nafsi na maisha yao kutufanya sisi tulale salama.

Hata uwepo wako JF kwa kujinafas unawategemea hao hao walinda usalama wetu.

Ahsanteni sana vijana kwa kutulinda katika mazingira magumu. Msikatishwe tamaa na mapunguani wachache wasio na fikra.
Dada Faiza hupo....! Nakuonaaa...ujue nakuonaaa...

(Jokes)

Sent from my SM-A500F using JamiiForums mobile app
 
View attachment 540844
Huyo askar kwenye picha bila shaka alifuatilia matukio ya kigaidi huko ufaransa kwenye tv na kuwaona makomandoo wa huko wakivaa kininja (balaclava) naye akapiga timingi matukio ya kibiti akaamua atoke hivyo. Utadhani kinyago.
View attachment 540842 View attachment 540843

Iga ufe!
Sio kama ameiga hivyo vifaa vipo na huwa vinatakiwa kuvaliwa lakini kutokana na kutokuwa na utayari dhidi matukio ya hatari kama hapa nchini kwetu ndio utaona mwingine kavaa na mwingine hajavaa, na sio kama ameiga, mfano mzuri Bulletproof vest, utakuwa wengine wamevaa na wengine hawajavaa wakati wote hao wanakwenda labda kwenye tukio a hatari.
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

sent from my Samsung smart tv using JamiiForums
 
Kwa mtazamo wangu hakuvaa kifaa hicho kwa bahati mbaya.
Ni wazi alikuwa anaficha utambulisho wake, sababu inawezekana si mmoja wa hilo jeshi lililopo hapo eneo la tukio. Pengine yeye ni mwanajeshi wa jeshi la wananchi, inawezekana ni kiongozi mkubwa tu wa moja ya majeshi ya tz, au ni mfanyakazi wa idara ya serikali au taasisi binafsi -hapo kaenda kwa kazi maalum
Pengine pia ni mkaz wa hilo eneo

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 
hao walimuheshimu daudi mwangosi? Tangu lini wakajitolea kwa ajili yetu ka si kwanynyi watawala was ccm
Utajua thamani ya jicho siku ukiwa kipofu. Kwa hiyo wewe huelewi umuhimu wa askari polisi. Na kwa fikra zako za kipumbavu unaona kwamba hata wasingekuwepo ungekuwa salama
 
Ndio mwisho wako wa kufikiri

Sent from my SM-A300FU using JamiiForums mobile app
 
Kwa mtazamo wangu hakuvaa kifaa hicho kwa bahati mbaya.
Ni wazi alikuwa anaficha utambulisho wake, sababu inawezekana si mmoja wa hilo jeshi lililopo hapo eneo la tukio. Pengine yeye ni mwanajeshi wa jeshi la wananchi, inawezekana ni kiongozi mkubwa tu wa moja ya majeshi ya tz, au ni mfanyakazi wa idara ya serikali au taasisi binafsi -hapo kaenda kwa kazi maalum
Haswa

Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
 
Kuna sababu maalumu ya kuvaa vile

Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
 
Tatizo la mleta mada ameathirika sana na uzungu

Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
hakuna cha using hapa hili jeshi liko kwa ajili ya hili lichama tu sI wengine tunajilinda. Mbona bado hawajawakamata vidume huko kibiti
 
  • Thanks
Reactions: PNC

Similar Discussions

Back
Top Bottom