Picha: Huu ni uchekeshaji ama udhalilishaji?

Ina onesha jamaa pichana kavaa chup anàzo vaaga mwandishi ivyo ana hisi kudhalilishea
 
...Okey,nadhani huko zamani ambako hawakuwa na ufahamu mkubwa na tasnia hiyo,kwa sasa washajua kuwa uchekeshaji sio lazima uvae manguo matambala,picha zote hizo huko zamani wakitafuta njia za kutokea,kwa sasa sidhani....
by the way shukrani.
Unahamisha magoli sasa. Ila za kwenu za kimarekani mmeletewa kina Coy Mzungu..hizi za kina braza K zina watu wake uswazi; hizo mnazoendaga nyie kwa kina Coy wala haziwavutii kabisa na wao.
 
Hebu kila mtu aangalie picha hii hapa chini kisha atoe maoni yake bila hila wala inda. Huu ni uchekeshaji ama udhalilishaji??

View attachment 1809375
Binafsi huwa simuelewi huyu jamaa. Hata futuhi huwa siielewi maana sichekagi.
Mpoki ndio comedian. Siku hizi anapiga suti au vazi nadhifu na utacheka tu...wale wa cross dressing au huyu jamaa huwa siwaelewi maana sioni kichekesho chochote zaidi ya kujidhalilisha
 
huyu jamaa huwa siwaelewi maana sioni kichekesho chochote zaidi ya kujidhalilisha
Sana sana mm huwa nikikuta watu wanaangalia huwa nashikilia roho yangu nikihofia atavua nguo. Kwahiyo akiwa hewani huwa naanza kutetemeka kama mgonjwa wa malaria.
 
Baadhi wanadhani uchekeshaji unaendana na kuvaa nguo kubwa, kuongea kwa lafudhi ya jamii Fulani na mengineyo ila sikatai inaweza kuwa sawa ila unaweza ukavaa vizuri tu ukaenda kwa stage ukaonesha kipaji chako na watu wakakiona.
Inategemeana ameamua kutumia style ipi katika uchekeshaji wake ukiona wachekeshaji wote kila mmoja ana njia yake wengine kama sultan yupo smart ila ongea yake tu utacheka muache afanye kaz ndugu
 
Back
Top Bottom