Picha: Huu ni uchekeshaji ama udhalilishaji?

Hebu kila mtu aangalie picha hii hapa chini kisha atoe maoni yake bila hila wala inda. Huu ni uchekeshaji ama udhalilishaji??

View attachment 1809375
Umelewa wewe?
Screenshot_20210606-104136.jpg
 
Hakuna udhalilishaji isipokuwa naona kuna mtu anazisaka fedha kwa udi na uvumba.
Labda eleza maoni yako, halafu nicomment.
 
Kuchekesha mtu hakuna formula. Unachoona wewe hakikuchekeshi yupo ambaye kitamchekesha, and vise versa is true
 
Nyie wamarekani wa mikocheni na mbezi mna shida sana..kila jamii na utamaduni ama sanaa yake..wewe jamii yako ya kimarekani sanaa yenu usilazimishe iwe ya kibongo
Huo nimetolea mfano tu kwa manguli wa hizo kazi za uchekechaji,wabongo wapo Joti,marehemu mzee Majuto nk,uliwaona wakivaa hivyo alivyovaa huyo jamaa?.
 
Huo nimetolea mfano tu kwa manguli wa hizo kazi za uchekechaji,wabongo wapo Joti,marehemu mzee Majuto nk,uliwaona wakivaa hivyo alivyovaa huyo jamaa?.
Joti na Mpoki wajawai kuvaa hivyo umezaliwa lini kwanza tuanzie hapo

Alafu weka kinachokuchekesha wewe
 
Huo nimetolea mfano tu kwa manguli wa hizo kazi za uchekechaji,wabongo wapo Joti,marehemu mzee Majuto nk,uliwaona wakivaa hivyo alivyovaa huyo jamaa?.
Ndio wamevaa sana..naona sanaa ya bongo hujawai kuifuatilia
Huo nimetolea mfano tu kwa manguli wa hizo kazi za uchekechaji,wabongo wapo Joti,marehemu mzee Majuto nk,uliwaona wakivaa hivyo alivyovaa huyo jamaa?.

Screenshot_20210606-130203.jpg

Screenshot_20210606-130045.jpg
 
Pesa,hela,fedha,faranga,mapene,rupia,ankara,dolariiii,iite vyoyote hii kitu inatafutwa kwa taaabu sana...Tuombeane tu uzima
 
Back
Top Bottom