Picha huongea zaidi ya maneno... NEC ya CCM huko Dodoma

hapa umenena
Mtazame Nape alivyokuwa mdogo, halafu EL anatoa mkono kama vile hana jinsi, tazama nyuma uone vijana wanavyojichekesha wengine wakitazama jukwaa kubwa huku wakijiuliza.. WHEN?...Na jukwaa la wazee wote wanacheka sana yaani furaha tupu wakati vijana wamejazwa ujinga na huzuni ama kujichekesha wakitazama wazee wao, hakuna furaha baina yao.
 
Now nape and lowasa are good friends can work together

hivi unaiona hiyo salamu na lugha ya mwili zinafanana? au ni kama vile kijana alilazimika tu kutoa mkono na babu akakubali kwakuwa ni kwenye mkutano. yaani ukiangalia hiyo picha ya nape na mzee wa mondili. ni kama vile nape anajaribu kuonyesha uwezo wake hata kwa sura,
 
Mliipotosha dhana nzima ya kuvua gamba!
Nani alipotosha?
Hii ndio shida ya ccmagamba! Leo wanasema hiv na kesho wanasema hatujasema. Sasa wanataka kutuambia waandishi wa habari ndio walipotosha? Si ilikuwa kihelehele cha Nape alipopewa madaraka na yeye alitaka asikike?
Wamenikumbusha jinsi Kikwete alivyowatukana walimu lakini kwenye uchaguzi akasema hakuwatukana ila ni waandishi wa habari waliongeza mambo yao.
Maskini waandishi wa habari mbona mnasukumiwa kila takataka za magamba? Nadhani mna haki ya kujitetea. Safari hii msikae kimya.
 
Mbona hamjaelewa ujumbe rahisi wa Picha ya Nape na Lowassa? HAPA, NAPE ANATUBU KWA LOWASSA! Na Lowassa anapokea toba yake. Baada ya hapo, picha inayofuata, Lowassa anashangilia ushindi akiwa na Waziri Mkuu mwingine mstaafu. Nape amefundishwa kwamba CCM INA WENYEWE!
 
Kwa ufupi huu mkutano hauna kazi nyingine kubwa zaidi ya reconciliation????

Kweli hii nchi ina matatizo lakini bahati mbaya hata hatujui matatizo yetu ni yapi???
 
duuh,nape kwisha habari yake, hana jinsi, inaelekea Lowasa anasema dogo hata kwenye mfuko wangu wa shati huenei,piga kimya
 
Mtazame Nape alivyokuwa mdogo, halafu EL anatoa mkono kama vile hana jinsi, tazama nyuma uone vijana wanavyojichekesha wengine wakitazama jukwaa kubwa huku wakijiuliza.. WHEN?...Na jukwaa la wazee wote wanacheka sana yaani furaha tupu wakati vijana wamejazwa ujinga na huzuni ama kujichekesha wakitazama wazee wao, hakuna furaha baina yao.


Kwa maani hiyo Nape ameambiwa na Mwenyeketi aukunjie mkia wake kwenye ****** kama mbwa koko na kumwangukia EL???

Haki ya nani njaa ni hatari kuliko mabomu ya nyuklia!!
 
Hivi hicho Kibabu cha pembeni hakifi tu!!!!. Toka shule ya msingi tumekisoma hicho, mpaka sasa tunawatoto bado tu kinaendelea kushirikishwa on serious decision du!. Vijitu vingine sijui vilizaliwa majira gani.. havichoki vipo tuuuuuu!!!

Hahahaaaaa!simwombei kufa lakini the way umeiweka imeniua mbavu!
 
Nilifikiri upo dom kumbe unakunywa kongoro hapo kiminyio. Hovyo kabisa, sawa na Nape. Makalio yamebana, boxer imelegea saa hizi.
Unafiki mtupu hapo,wanapena mikono kutimiza wajibu tu.
Mkuu Invisible,ile chenji yako nakutumiaje.
OTIS.
 
Kwa maani hiyo Nape ameambiwa na Mwenyeketi aukunjie mkia wake kwenye ****** kama mbwa koko na kumwangukia EL???

Haki ya nani njaa ni hatari kuliko mabomu ya nyuklia!!
Tulimwambia lakini hakutaka kusikia akidhani JK na EL ni maadui kumbe wamemweka sawa yeye ili aadhirike..Mkia kaaufyata siku nyingi sasa hivi ni mbwa anayecheshwa sarakasi.

Kinachoweza kufanyika tu ni EL na Chenge labda kuachia Ubunge lakini sii NEC ama uanachama kwa sababu huko ndiko wanakopata nguvu zote...Kumbuka hata wakati wa Nyerere mzee Malecela alipigwa chini na kulingana na kanuni alitakiwa kuvuliwa gamba lakini hakuondolewa NEC wala kuvuliwa uanachama - kwa kutomvua gamba leo hii bado ana nguvu kubwa na ndicho pekee NEC wanachoweza kufanya..


Na kama EL na Chenge wataondolewa katika Ubunge lakini wakabakia ndani ya chama kama Rostam, CCM itakuwa mshindi maana Wadanganyika wajinga sana hawafahamu nguvu ya kiongozi yeyote wa serikali huanzia ndani ya NEC ya chama..Sifa kubwa zitamwagwa kwa chama kujivua gamba kwa kuachia Ubunge hali swala la Ufisadi wao liko pale pale..
 
ccm ni chama kongwe wanapokuwa kwenye vikao ni wamoja picha zinajieleza

inapendeza kusalimiana hata kama ni mahasimu wakubwa wa kisiasa

mambo yanakuzwa tu kwa sababu za kisiasa lakini picha ziko makini
 
Back
Top Bottom