OTIS
JF-Expert Member
- Sep 7, 2011
- 2,252
- 839
Nilifikiri upo dom kumbe unakunywa kongoro hapo kiminyio. Hovyo kabisa, sawa na Nape. Makalio yamebana, boxer imelegea saa hizi.
:focus::focus::focus:
Nilifikiri upo dom kumbe unakunywa kongoro hapo kiminyio. Hovyo kabisa, sawa na Nape. Makalio yamebana, boxer imelegea saa hizi.
Hivi hicho Kibabu cha pembeni hakifi tu!!!!. Toka shule ya msingi tumekisoma hicho, mpaka sasa tunawatoto bado tu kinaendelea kushirikishwa on serious decision du!. Vijitu vingine sijui vilizaliwa majira gani.. havichoki vipo tuuuuuu!!!
Swali kubwa ni nguvu za kufanya reconciliation wamezitoa wapi? Hali ya CCM jana ni tofauti na leo? Hakika nimeamini miluzi mingi humpoteza mbwa!! Dhana ya hakuna aliyemsafi inashinda! Msimamo na uelekeo wa upinzani na uungwaji wake mkono? Tumeimba ufisadi hadi akina mataka tunawaona wajanja! Ufisadi umezoeleka CDM kuzungumzia ufisadi imekuwa zilipendwa sio? Tumechoka kupiga kelele? Tumeamua kuwaacha wafanye watakalo?-Haliharibiki jambo!...
Kweli lakini kumbuka tu mila na desturi za wazee wetu - Honest political activists are rewarded for their efforts by becoming materially wealthy.
Kingunge: Mpe mwenzako mkono na sitaki kusikia tena vijembe kwenye majukwaa.
Nape: Sawa baba, mtoto akinyea kiganja hakikatwi.
Bila shaka, Katika mazingira ya Ufisadi aisifiae mvua imemnyeshea..CCM is One, ever and ever again!!
Bila shaka, Katika mazingira ya Ufisadi aisifiae mvua imemnyeshea..
Kila Watu na Mazingira yao ...Huku majuu watu hawasifii mvua, mvua ni balaa wako kheri wapate jua kali na snow kuliko kunyeshewa mvua na mvua huja na vimbunga mafuriko na kadhalika..
Upo msemo kuwa "penye wazee..."