Kichwa Ngumu
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,726
- 314
Mi picha hizo zimeniambiak uwa ccm hawaaminiani ndio maana hayo maji ya kilimanjoro hawanyi kwa sababu wanahisi kuwekeana sumu
Mliipotosha dhana nzima ya kuvua gamba!
Nape anaweza kulaumiwa bure, I can bet kuna ukinzani mkubwa wanakumbana nao ambao si rahisi yeye ku-reveal kwa sasa. Ikitokea akahama CCM anaweza kuyaeleza magumu aliyokumbana nayo katika kuhakikisha haya yanawezekana.Nape naye kigeugeuuuu, anajipendekeza kwa fisadi
Ameshaanza kutafuta !!duh, yaani lowasa akiingia ikulu, nape atafute pa kwenda!!!!!
Ukiangalia vizuri utaona kuwa Nape hayuko relaxed na kuna feeling ya kushuka na kujiona mdogo na kijana mkosefu anayesitahili kuhurumiwa tu.Nape anaonekana dhahiri macho anakwepesha kwa lowasa, naye peter serukamba (kampeni meneja wa lowasa anamcheki lnape na kumbeza kimya kimya kuwa hapa ndo penyewe EL for ccm 2015)
Mkuu sijaelewa picha hiyo na maelezo yako,unataka kusema "HAKUNA KUVUANA MAGAMBA au?