Picha huongea zaidi ya maneno... NEC ya CCM huko Dodoma

Wenye akili zetu tulishajua nini kitajiri dodoma...ccm c chama chenye uwezo wa kufanya maamuzi magumu abadani. Na hiyo picha inadhihirisha hilo...wamejaa unafiki tu.
 
Lowassa ambaye ni Mbunge wa Monduli (CCM), alinukuliwa akisema: "Mwenyekiti utakumbuka kwamba mimi nilishaamua kuvunja mkataba wa Richmond mapema, lakini baada ya kukupigia simu ukiwa katika safari nje ya nchi ulisema tusubiri kwani ulikuwa umepata ushauri wa makatibu wakuu wa wizara, sasa leo hii ninahukumiwa nakuitwa fisadi kwanini?".

Naona kweli jamaa alijiandaa kwa "mwaga ugali namwaga mboga". Mwenyekiti kweli ni dhaifu yaani Lowassa bado anaendelea kuunguruma hadi leo????????

Source: Bonyeza Hapa
 
Unajua hawa jamaa wanaona hakuna njia inabidi wawe pamoja hata kama hawapendani.
 
Back
Top Bottom