Picha: Huko Ikulu wanalibeba Hili Dubwasa, Hawalioni?

Picha: Huko Ikulu wanalibeba Hili Dubwasa, Hawalioni?

Uwezo wako wa kufikiri ndo ulipoishia? Basi Kama ndo great thinkers haina maana.
Sema hamjataka kuelewa nje ya ambavyo mngependa muelewe.Hivi hata pale mwishoni alipohoji kwani liko moja tu hujaelewa pia?
 
Mzee mwana Kijiji unanikumbusha miaka ya 2011 na mada zako. Kweli maisha yanabadilika
 
Yaani wewe huoni
Nimevumilia lakini nimeshindwa kujizuia.. nani anatakiwa kusimamia hili dubwasa likawa presentable... Limekuwa hivi hivi kwa karibu mwaka wa tatu sasa.. na hivi liko moja tu?

View attachment 948666

Sijui kwanini inanikumbusha dawati langu shule ya Msingi Golfu Juu...
Yanii wewe kati ya mazuri na mabaya yanayofanyika nchini umeona hilo tu ambalo hata haliwezi kumpatia Mstaafu 75% ya pension yake au kumwongeza mshahara ingawa maisha yamebadilika. Aidha, huoni ni namna gani watumishi 10 wanavyolala Dodoma kwenye nyumba moja maana wamehamishwa wengi kwa wakati mmoja bila maandalizi, Mafisadi waliokuwa wamejenga nyumba Dodoma ambao wengi ni kundi hilo hilo, baada ya kuona uhamisho wa watumishi, wamepandisha kodi kwa mara 1000 !!!Hapo unategema huyo mtumishi abaki na akiba kutoka kwenye mshahara mkia ? Dodoma kuna nini cha kujiongezea kipato cha ziada ? Kilimo ?
 
Nimevumilia lakini nimeshindwa kujizuia.. nani anatakiwa kusimamia hili dubwasa likawa presentable... Limekuwa hivi hivi kwa karibu mwaka wa tatu sasa.. na hivi liko moja tu?

View attachment 948666

Sijui kwanini inanikumbusha dawati langu shule ya Msingi Golfu Juu...
Kura yako imekuwa shubiri kwako, ulifanya kampeni ya kumnyima Lo sa kura
 
Watu mna mawazo ya mbali kweli..hivi Hadi wote tukubaliane kukosoa au kuunga mkono ndio iwe halali? Miye nazungumzia hiyo mimbari..chafu mno in maana watu hawaioni? Rais katinga suti na bodigadi juu halafu anazungumza mambo mazito kwenye dubwasha Hilo...kwa wengine inaweza isiwe muhimu lakini Ni ishara ya umakini. Kuna mtu hafanyi kazi yake sawasawa.
"Double speak", haiondoi maana halisi.
 
Useless, kwhy ndo ulichoona cha kukosoa kuhusu utawala huu?mambo ya msingi unaacha unafatilia vitu vya ajabu,mzee mwanakijiji unasikitisha sana siku hz
Hata makada nao.Au buku 7 zimeota mbawa kulikoni
 
Kutokubaliana na mtu sio hopeless, we ndio unaweza kuwa hopeless kwa kutojua sio lzm wote tuwaze sawa. Jinsi ulivyotafsir ni kweli umeonesha uhopeless
My bad, I draw it back.
 
Katika yote we umeona mimbari tu
Duh
Table manners zinataka ukiwa unakula usiongee...
 
Nimevumilia lakini nimeshindwa kujizuia.. nani anatakiwa kusimamia hili dubwasa likawa presentable... Limekuwa hivi hivi kwa karibu mwaka wa tatu sasa.. na hivi liko moja tu?

View attachment 948666

Sijui kwanini inanikumbusha dawati langu shule ya Msingi Golfu Juu...

Naona sasa uzee wako umeingiliwa na gonjwa la Alzheimer's, kwa kweli Mzee umeishiwa hoja siku hizi....unasikitisha. Hivi umeshaanza kula dozi ya ugonjwa wako au?
 
Nimevumilia lakini nimeshindwa kujizuia.. nani anatakiwa kusimamia hili dubwasa likawa presentable... Limekuwa hivi hivi kwa karibu mwaka wa tatu sasa.. na hivi liko moja tu?

View attachment 948666

Sijui kwanini inanikumbusha dawati langu shule ya Msingi Golfu Juu...
wanabana matumizi, wanavitu vingi vya kufanya kwa taifa kuliko hilo.....
 
Pumbav kabisa usituitie rais wetu dubwasha, ingekuwa rais kukupiga risasi kwenye ID yako ukafa wallah wewe hautakiwi kuishi
 
When you are tired of something you choose any name to call it. Yes, it's your personal right to call it "DUBWASHA"
 
Unamwita rais wangu nchi dubwasa? Na unaweka picha yake kabisa
Nyie ndio mnafanya mero aitwage mahakaman kila siku. Ifike mahar melo hawa watu wakitakiwa wachome tu
 
Nimevumilia lakini nimeshindwa kujizuia.. nani anatakiwa kusimamia hili dubwasa likawa presentable... Limekuwa hivi hivi kwa karibu mwaka wa tatu sasa.. na hivi liko moja tu?

View attachment 948666

Sijui kwanini inanikumbusha dawati langu shule ya Msingi Golfu Juu...
Mzee kumbe na wewe ni wa mwamboni au majani mapana maana ndio wengi waliosoma pale watokapo
 
Back
Top Bottom