Picha: Huko Ikulu wanalibeba Hili Dubwasa, Hawalioni?

Picha: Huko Ikulu wanalibeba Hili Dubwasa, Hawalioni?

No wonder Jiwe atashinda tena 2020 kwa sababu jinsi bandiko hilo la Mwanakijiji lilivyoshindwa kueleweka miongoni mwa wengi tells a sad story: our country is in no shortage of DUMB people. Je hawa ndo wa kutegemewa kuing'oa CCM come next election? Nah!

Mkuu Ujinga ni sehemu ya uwekezaji wa CCM, kuwafanya watanzania wajinga ni moja ya mbinu ya CCM iendelee kutawala.
Shida ya CCM ni kutawala sio kuleta maendeleo ndio maana ni rahisi kuwafanya watanzania wawe na tabia nyingi za hovyo kama unafiki, uchawi, wizi, ubinafsi, chuki, roho mbaya kwa wengine, nk.

Muandishi naye ajifunze kuwa clear kwa issue ndogo kama hizi, sio kweli kwamba ambao hawajamuelewa ni wajinga au uwezo wao wa kufikiri ni mdogo lahasha, binafsi naiona podium/mimbari hicho kitambaa chekundu kilivvyo kichafu na hovyo lakini sio kwamba nimemuelewa muandishi maana pia anaweza kumaanisha kitu kingine vilevile, baadala ya kutumia neno " dubwana " kimemshinda nini kusema mimbari au podium ni ya hovyo watu wakaelewa...
 
Back
Top Bottom