Picha: Huko Ikulu wanalibeba Hili Dubwasa, Hawalioni?

Picha: Huko Ikulu wanalibeba Hili Dubwasa, Hawalioni?

Mbona lina kazi zuri. Hata wale wenye nia wakikutana nalo huwa nia zinayeyuka ghafla wanaanza; Ndiyooooo
 
Nimevumilia lakini nimeshindwa kujizuia.. nani anatakiwa kusimamia hili dubwasa likawa presentable... Limekuwa hivi hivi kwa karibu mwaka wa tatu sasa.. na hivi liko moja tu?

View attachment 948666

Sijui kwanini inanikumbusha dawati langu shule ya Msingi Golfu Juu...
Hakika macho tunatofautiana kuona....Dubwasha sijui dubwana ninaloliona mimi hapo ni hilo lenye kipara...wazungu wanaliita "African bald fraud"
 
Unatutafutia ban wewe si bure. Wacha tumalize mwaka salama
 
Nimevumilia lakini nimeshindwa kujizuia.. nani anatakiwa kusimamia hili dubwasa likawa presentable... Limekuwa hivi hivi kwa karibu mwaka wa tatu sasa.. na hivi liko moja tu?

View attachment 948666

Sijui kwanini inanikumbusha dawati langu shule ya Msingi Golfu Juu...
Haya huwa yapo mengi tu. Utaratibu ni kuwa lililopo karibu husogezwa mahali husika. Bahati mbaya inatokea mengine kuonekana yamechoka.
 
Tulia wewe tuko kwenye vita ya uchumi tunapambana na mabeberu...
Unatumika na mabeberu wewe kukwamisha maendeleo yetu,. Kuwa Mzalendo acha kutumika hahahahahaha
 
Mzee Mwanakijiji ndiye alinivutia sana na makara zake mpaka nikashawishika kujiunga Jamii Forum, kwa sasa Mzee Mwanakijiji anaona mambo yote yako sawa.
 
kama na wewe Mzee Mwanakijii umefikia hatua hiyo basi patamu hapo!!
 
Huko Lumumba wameelekezwa waje kihivi Leo, posho imeongezwa
 
Back
Top Bottom