Picha: Huko Ikulu wanalibeba Hili Dubwasa, Hawalioni?

Picha: Huko Ikulu wanalibeba Hili Dubwasa, Hawalioni?

Useless, kwhy ndo ulichoona cha kukosoa kuhusu utawala huu?mambo ya msingi unaacha unafatilia vitu vya ajabu,mzee mwanakijiji unasikitisha sana siku hz
Useless kwa hiyo wewe unataka umshikie akili zake Mzee Mwanakijiji yaani awe kama nyumbu kwako unachowaza yeye basi automatically kichwani kwake kiingie kama kilivyo.

Yeye ameona hilo na amelisemea, wewe ikiwa unaona kuna mapungufu mengine kwenye utawala useme kivyako. BTW huyu jamaa kasema kwa kipindi cha miaka mitatu sijui kama hilo dude liko pale kwa miaka mitatu inawezekana lipo toka enzi za Mkapa. Lakini pia Mzee Mwanakijiji anaweza kuwa ameongea lugha ya taarabu.
 
Nimevumilia lakini nimeshindwa kujizuia.. nani anatakiwa kusimamia hili dubwasa likawa presentable... Limekuwa hivi hivi kwa karibu mwaka wa tatu sasa.. na hivi liko moja tu?

View attachment 948666

Sijui kwanini inanikumbusha dawati langu shule ya Msingi Golfu Juu...
Wataozea jela....Haya maneno tulizoea kuyasikia kwa Kagame.
 
hilo dude chafuu.. aisee hii ni aibu. ndio ujue watu wanaogopa hata kubadilisha hilo dude.. labda lina masharti ya mganga
 
Useless, kwhy ndo ulichoona cha kukosoa kuhusu utawala huu?mambo ya msingi unaacha unafatilia vitu vya ajabu,mzee mwanakijiji unasikitisha sana siku hz
Jambo kama haujalielewa liache lipite, umeangalia picha unadhani umeelewa kumbe bado.
Ukipewa picha za wachoraji wa kale kina Van Ghor, Rembrandt, Goya na wengine utaona ni takataka na kuzichoma moto kwani haitauona ujumbe unaobebwa kwenye picha hizo; hicho ndicho kisa cha kuuzwa bei kubwa mno (priceless)!
 
Useless, kwhy ndo ulichoona cha kukosoa kuhusu utawala huu?mambo ya msingi unaacha unafatilia vitu vya ajabu,mzee mwanakijiji unasikitisha sana siku hz
Mwanakijiji ni mwanafilosofia sana. Halipendi hilo dubwana halipendezi lakini limekuwa likionyeshwa miaka mitatu sasa
 
Halafu kwan ni lazima wasimame watu watatu hapo mbele,mmoja tu si anatosha jaman wananzengo?
 
T JPM 2015-2025 mtapata tabu sana kwa post zenu zilizojaa hasira na upuuzi.
 
Nimevumilia lakini nimeshindwa kujizuia.. nani anatakiwa kusimamia hili dubwasa likawa presentable... Limekuwa hivi hivi kwa karibu mwaka wa tatu sasa.. na hivi liko moja tu?

View attachment 948666

Sijui kwanini inanikumbusha dawati langu shule ya Msingi Golfu Juu...
Hahaha lipo moja tuu na linafunika tumbo hadi kifuani ili kukinga?????????
 
Back
Top Bottom