Picha: Huko Ikulu wanalibeba Hili Dubwasa, Hawalioni?

Picha: Huko Ikulu wanalibeba Hili Dubwasa, Hawalioni?

Nimevumilia lakini nimeshindwa kujizuia.. nani anatakiwa kusimamia hili dubwasa likawa presentable... Limekuwa hivi hivi kwa karibu mwaka wa tatu sasa.. na hivi liko moja tu?

View attachment 948666

Sijui kwanini inanikumbusha dawati langu shule ya Msingi Golfu Juu...
Umenichekesha sana.Nimesomaaa...nikabukuaaaaa...mara nikasikia wanaimba ...embeeeee...embeeee!Mmmmhfff!
 
Useless, kwhy ndo ulichoona cha kukosoa kuhusu utawala huu?mambo ya msingi unaacha unafatilia vitu vya ajabu,mzee mwanakijiji unasikitisha sana siku hz
Hawa woote walizowea kuishi kwa vimemo hakika JPM amewashika pabaya
 
Useless, kwhy ndo ulichoona cha kukosoa kuhusu utawala huu?mambo ya msingi unaacha unafatilia vitu vya ajabu,mzee mwanakijiji unasikitisha sana siku hz
Useless is a person who can't read between the lines. So you, and not Mwanakijiji, are in fact useless.
 
...haujamuelewa mkuu,..hebu msome kwenye mistari kwa utulivu utakuja gundua wote mnawaza na kunena mamoja
No wonder Jiwe atashinda tena 2020 kwa sababu jinsi bandiko hilo la Mwanakijiji lilivyoshindwa kueleweka miongoni mwa wengi tells a sad story: our country is in no shortage of DUMB people. Je hawa ndo wa kutegemewa kuing'oa CCM come next election? Nah!
 
hivi hamuioni hiyo podium hiko kitambaa chekundu kilivyo kichafu mpaka kimeweka usugu wa uchafu, upande mwingine hicho kitambaa kinaonekana kabisa kimechakaa na kufungwa fungwa tu hovyo hovyo, inawezekana kinatoa kinatoa harufu pia.. tunaweza tukawa outsmarted kwa vitu vidogo sana jamani..
 
Nimevumilia lakini nimeshindwa kujizuia.. nani anatakiwa kusimamia hili dubwasa likawa presentable... Limekuwa hivi hivi kwa karibu mwaka wa tatu sasa.. na hivi liko moja tu?

View attachment 948666

Sijui kwanini inanikumbusha dawati langu shule ya Msingi Golfu Juu...
Amparuty effect. Watu mnapotea sana aisee na hiyo michezo mnayofanyiwa. Kwa hiyo umemaanisha nini hapo? Hueleweki kabisa.
 
Back
Top Bottom