Mkomavu
JF-Expert Member
- Jan 25, 2016
- 12,291
- 17,815
Muwaambieni wale wenye viburi wafanye yao.Nimevumilia lakini nimeshindwa kujizuia.. nani anatakiwa kusimamia hili dubwasa likawa presentable... Limekuwa hivi hivi kwa karibu mwaka wa tatu sasa.. na hivi liko moja tu?
View attachment 948666
Sijui kwanini inanikumbusha dawati langu shule ya Msingi Golfu Juu...
Mimi naona kuna madubwana zaidi ya moja usiniulize lipi na lipi??
Hadi kufikia 2020 wote tutazungumza kiswahili na agenda yetu itakuwa ni moja juu ya huu ubatizo wa moto