Jiwe_Tanzania
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 416
- 806
Niliipiga wakati wa mchana wa jua kali...Morogoro maeneo ya kihonda.
😇😇what a beautiful sceneHapa tutakuwa tunashare picha tulizopiga au picha zilizopigwa na wapiga picha wengine ila zimetuvutia. Ikiwezekana vile vile tutakuwa tunaweka tips jinsi gani tumepiga picha, post processing etc etc.
Tukiweka picha za wapiga picha wengine tujaribu kuweka source na jina la mpiga picha.
Hii picha ilipigwa maeneo ya Kigamboni kutoka kwenye boti la kuelekea Zanzibar.
Hahahaha
Aende tuJAMAA ALIYESHIKA MTOTO ANATAKA AKAPIME DNA JE KUNA HAJA?View attachment 1308960
Sent using Jamii Forums mobile app
Lina rangi za kijani..😐Carpet la simbaView attachment 1272169
Noma sanaKali sana.
Imetulia hakika iko vizuriBendera ya Tanzania ikiwa inapepea kwenye boat ya Azam marine. Niliipiga picha hii nikiwa natoka Dar es salaam naelekea Zanzibar View attachment 1061490
Few years from now you may wish you should have started today...