GE2025 Peter Msigwa ashindwa kura za maoni Iringa Mjini

GE2025 Peter Msigwa ashindwa kura za maoni Iringa Mjini

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Alipokwenda Mbweni na kushauriwa na johnthebaptist agombee ubunge kupitia CCM hapa Iringa mjini, Peter Msigwa alidhani CCM wanampenda kumbe wanamtega..

Matokeo ya awali yanaonesha Msigwa hayumo kati ya wagombea watatu wa juu. Taarifa toka ndani ya CCM hapa mjini inaonesha Msigwa hawezi kuongoza au kuwa wa pili.

Nitakuwa naweka matokeo ya hapa mjini kwa kadri nitakavyokuwa nayapata.

Hivi kweli Msigwa ni wa kuiita CHADEMA ni mama wa Kambo?

KATA YA KIHESA
216 Mosses
NGAJILO 133
Nguvu 14
Msigwa 16
Islam 8
Jesca 29

KATA YA MSHINDO

MOSSES 54
NGAJILO 50
Huel 5
Jesca 3
Msigwa 2
Nguvu 2
Huyo jamaa nilikuwa namuombea apatwe na lolote kwenye kinyang'anyiro hiki.
 
Hapa CHADEMA wangeingia uwanjani wangepata Wabunge wasiopungua 200. Hawakufanya hesabu vizuri.
 
18.

Kata zote kashindwa
Update.

MATOKEO YA UBUNGE KATA YA NDULI - JIMBO LA IRINGA MJINI. ( Jumla ya Wajumbe 292)

1. Nguvu Chengula 28
2. Fadhili Ngajilo 85
3. Peter Msigwa 88
4. Islam Huwel 14
5. Moses Ambwindule 29
6. Jesca Msambatavangu 47
Kapata kura 88 hapa si kashinda?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
PENDEKEZO.

Kwa kuwa dalili zinaonyesha wazi Msigwa(mbunge wa zamani) na Jesca (mbunge wa sasa)wote watashindwa vibaya, ni muda muafaka kuwashindanisha Msigwa na Jesca kwa kura zao, at least tupate kuona ile battle. Hivyo mleta mada, ulete update ya matokeo kwa kuzingatia battle ya Msigwa vs Jesca ili tupate angalau kicheko.
Kumbe mnafuatilia siasa za CCM baba lao 😂 😂
 
Binafsi hilo la Msigwa wala sio habari lilikuwa njiani.

Habari hapo ni Jesca, influence yake mbona imepotea ghafla sana, sijui kawatibua nini wanyalukolo.
 
Back
Top Bottom