GE2025 Peter Msigwa ashindwa kura za maoni Iringa Mjini

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Ukiachana na upumbavu wa Ccm kujimilikisha uchaguzi hizi battle za wagombea huwa nazipenda sana the way wanavyo compete kwenye vinyang'anyiro... kwenye jimbo la Busega niliwahi kupenda sana Battle ya Raphael Chegeni na Titus Kimani.. wale jamaa ilikua ni km Real Madrid na Barcelona huwezi kujua nani atashinda... Kama record zangu ziko sawa wale jamaa wamekalishana bench kama mara mbili, full kubadilishana ubingwa.
 
Alipokwenda Mbweni na kushauriwa na johnthebaptist agombee ubunge kupitia CCM hapa Iringa mjini, Peter Msigwa alidhani CCM wanampenda kumbe wanamtega..

Matokeo ya awali yanaonesha Msigwa hayumo kati ya wagombea watatu wa juu. Taarifa toka ndani ya CCM hapa mjini inaonesha Msigwa hawezi kuongoza au kuwa wa pili.

Nitakuwa naweka matokeo ya hapa mjini kwa kadri nitakavyokuwa nayapata.

Hivi kweli Msigwa ni wa kuiita CHADEMA ni mama wa Kambo?

KATA YA KIHESA
216 Mosses
NGAJILO 133
Nguvu 14
Msigwa 16
Islam 8
Jesca 29

KATA YA MSHINDO

MOSSES 54
NGAJILO 50
Huel 5
Jesca 3
Msigwa 2
Nguvu 2
Atafute boda ya mkataba tu
 
Kazi ccm zipo nyingi sana kuna ukuu mkoa kuna nini msigwa ni rafik yangu sana ana connection sasa best friend wa makala hawezi shindwa kuotea hata ukuu wa wilaya tu
 
Aisee naona Moses Ambindwile anawapiga mbali sana
 
Raphael Chegeni na Titus Kimani.. wale jamaa ilikua ni km Real Madrid na Barcelona huwezi kujua nani atashinda... Kama record zangu ziko sawa wale jamaa wamekalishana bench kama mara mbili, full kubadilishana ubingwa.
Hiyo nayo ilikuwa vita ngumu.
Hivi uchaguzi huu jamaa vipi wamechukua fomu?
 
Kazi ccm zipo nyingi sana kuna ukuu mkoa kuna nini msigwa ni rafik yangu sana ana connection sasa best friend wa makala hawezi shindwa kuotea hata ukuu wa wilaya tu
Ukuu wa wilaya na mkoa ni nafasi za makada kumbe?

Kuna haja ya kuwa na katiba mpya kuondoa nafasi hizi na kuzibadilisha ziwe nafasi za kuchaguliwa na wananchi kama mfumo wa kaunti/majimbo.
 
Alipokwenda Mbweni na kushauriwa na johnthebaptist agombee ubunge kupitia CCM hapa Iringa mjini, Peter Msigwa alidhani CCM wanampenda kumbe wanamtega..

Matokeo ya awali yanaonesha Msigwa hayumo kati ya wagombea watatu wa juu. Taarifa toka ndani ya CCM hapa mjini inaonesha Msigwa hawezi kuongoza au kuwa wa pili.

Nitakuwa naweka matokeo ya hapa mjini kwa kadri nitakavyokuwa nayapata.

Hivi kweli Msigwa ni wa kuiita CHADEMA ni mama wa Kambo?

KATA YA KIHESA
216 Mosses
NGAJILO 133
Nguvu 14
Msigwa 16
Islam 8
Jesca 29

KATA YA MSHINDO

MOSSES 54
NGAJILO 50
Huel 5
Jesca 3
Msigwa 2
Nguvu 2
This time Wana iringa mpeni kijana wenu mzalendo

Ndugu FADHILI FABIAN NGAGILO , huyu ni kaka mkubwa wa FRED FABIAN NGAGILO a.k.a FRED VUNJABEIIIII
 
Back
Top Bottom