Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 30,192
- 41,976
Aisee wakurya noma wamemtukana a😂😂Kuna cvd19 mmoja kala matusi huko tarime sjui musoma
Ova
Aisee wakurya noma wamemtukana a😂😂Kuna cvd19 mmoja kala matusi huko tarime sjui musoma
Ova
Kaka Ake tumbo 1Unazungumzia nini hapa?
Yap hanaga mambo mengi ,Alikuwa kichwa balaaAnaitwa Fadhil Ngajilo, ni kaka yake Fred, ashawahi kuwa tutorial assistant hapo St John's University Dodoma, ni mtu wa fursa sana, 2015 alikuwa team Lowasa
Nani amateur Sasa! Wkt Mungu Mwenyezi,ameshaamua yake. Ni suala la majira na wkt kutimia tu!Ataambulia U RC...
200 big no,wangeweza kupata 30Hapa CHADEMA wangeingia uwanjani wangepata Wabunge wasiopungua 200. Hawakufanya hesabu vizuri.
Alisahau kuwa umaarufi wa awali ulikuwa wa chama cha CHADEMA. Ni kama huyu punda aliembeba YESU akasikia anashangiliwa akadhani yy ndo anashangiliwa kumbe mambo yalibainika, aliporudi ck iliyofuata alipigwa mawe ndipo alipobaini kuwa yy hakustahili sifa yyt isipokua YESU yule aliembebaNilimuonya sana Mchungaji Msigwa tena hapa hapa JF kwamba hawezi kushinda hata meneja wake akiwa Miraji wa Msoga 😂😂
Uko sahihi kabisa, hanaga baya na mtu , yuko busy na mambo yakeYap hanaga mambo mengi ,Alikuwa kichwa balaa
Nimesoma nao shule moja
Hao kina johnthebaptist ndiyo waliompotosha.Al
Alisahau kuwa umaarufi wa awali ulikuwa wa chama cha CHADEMA. Ni kama huyu punda aliembeba YESU akasikia anashangiliwa akadhani yy ndo anashangiliwa kumbe mambo yalibainika, aliporudi ck iliyofuata alipigwa mawe ndipo alipobaini kuwa yy hakustahili sifa yyt isipokua YESU yule aliembeba
Potential hipi waliyonayo misigwa?Jesca mbona kaachwa mbali Sana Ila Msigwa atapitishwa kwakuwa ana potential kubwa Sana .
Wewe ndo Umeongea na Arusha Nyamagana hiyo Mabula kua mbunge term mbili Nyamagana sheria uwa ni term mmoja njeHivi anayekubalika hapo Iringa ni Msigwa au Chadema?
Maana navyojua Iringa mjini na Mbeya ni ngome kongwe za upinzani tangu tumeanza mfumo wa vyama vingi.
Jesca kashidwa hata na misigwa kuraBinafsi hilo la Msigwa wala sio habari lilikuwa njiani.
Habari hapo ni Jesca, influence yake mbona imepotea ghafla sana, sijui kawatibua nini wanyalukolo.
Ilikuwa inakubalika CDM iringa si msigwa.Msigwa anakubalika Sana Iringa Kama sio magufuli kuharibu uchaguzi angekuwa ndo mbunge hapo
Huwel watakuwa wamemlia hela za baba yake tu, Wajumbe sio watu 😅Mbona hamjampitisha Huwel
Ajabu huyu ni mtu alieshinda 2015 akakatwa kutokana na sakata la Lowassa (alikuwa kwenye hiyo team).Jesca kashidwa hata na misigwa kura
Kuna mmoja anaitwa Fadhili na mwingine Fred.Nadhani ni majirani tu waliozaliwa na wazazi walewale.Mgajilo ndio huyu Vunjabei wa Jokate?