GE2025 Peter Msigwa ashindwa kura za maoni Iringa Mjini

GE2025 Peter Msigwa ashindwa kura za maoni Iringa Mjini

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Huyo hakuwahi kushinda, kama juzi tu kashindwa kutoboa kura za wajumbe jiulize alipitaje last time? Ni mbeleko za magufuli ndani ya chama na baadaye akaiba uchaguzi kuwafanya wabunge.
Juzi kwenye kura zipi za wajumbe wakati kura wanapiga leo?
Magufuli mbona hakubeba wengine kwa wajumbe kama alimbeba ?
 
Wewe uliamini Msigwa au malaya yoyote wa kisiasa aliyehamia CCM anaweza kupenya kwenye hizo kura za maoni?

Kifupi, hakuna wa kupenya.
Mbona yule kishoia nusrat hanje kapiita? Au sielewi. Na bulaya naye si kapita?naudhika balaa
 
Alipokwenda Mbweni na kushauriwa na johnthebaptist agombee ubunge kupitia CCM hapa Iringa mjini, Peter Msigwa alidhani CCM wanampenda kumbe wanamtega..

Matokeo ya awali yanaonesha Msigwa hayumo kati ya wagombea watatu wa juu. Taarifa toka ndani ya CCM hapa mjini inaonesha Msigwa hawezi kuongoza au kuwa wa pili.

Nitakuwa naweka matokeo ya hapa mjini kwa kadri nitakavyokuwa nayapata.

Hivi kweli Msigwa ni wa kuiita CHADEMA ni mama wa Kambo?

KATA YA KIHESA
216 Mosses
NGAJILO 133
Nguvu 14
Msigwa 16
Islam 8
Jesca 29

KATA YA MSHINDO

MOSSES 54
NGAJILO 50
Huel 5
Jesca 3
Msigwa 2
Nguvu 2
Hibi? Ni Mchingaji wa kanisa gani?
 
Msigwa hana akili yule hapo ndipo mwisho wake sana sana akibaki atakuja kugawiwa ukuu wa wilaya au hapana chochote kwakuwa amedhirisha kuwa alichowadanganya wanaccm kwamba ana mtaji wa watu waliokuwa CDM kwamba watamwunga mkono kumbe walikuwa wanamsindikizi kwenye kwenye mnara wa kitanzini kumwangamiza kabisa na hatainuka tena.
 
Back
Top Bottom