Sidhani kama kuna mtu anapinga Mahakama ya Kadhi,ila tunachopinga ni nani aigharamie Mahakama hiyo?Je ni halali kwa serikali kuigharamia ilhali walipa kodi ni wakristu na waislamu? Je kama Mkristu Mahakama hiyo inamsaidiaje?Kama waislamu wenyewe wanauwezo wa kuigharamia mahakama hiyo wamepewa ruhusa ya kuifungua na kuitumia.
Swala la NECTA sidhani kama linaukweli kwani kuna watoto wakiislamu waliosoma shule za Wakatoliki au Wakristu na wamefaulu vizuri kuliko hata wakristu wenyewe,tatizo ni bidii za watoto wetu kujifunza na kutilia maanani masomo na shule.Makosa mdogomadogo yasifanye tatizo kuwa kubwa sana.Nina historia na kusoma na mabinti kutoka Handeni miaka ya themanini ,mabinti wale walikuwa shule hawaithamini kabisa na wengi walifeli karibu asilimia tisini na tano ya wasichana toka Handeni walifeli,je utawalaumu walimu au NECTA?
Tuwafundishe watoto wetu kujali masomo bila kuangalia udini wao,kwani taifa letu limejengwa na watu waimani tofauti (wakristu,waislamu,wapagani wahindu N.k)
Hata huyo mtoto mkristu leo kesho anaweza akabadili kuwa muislamu na muislamu kuwa Mkiristu,tusiwabague watoto wetu.
Professor Safari ni Mwanataaluma na mshauri,si kiongozi!Ni think tank!!!!!!!!!!!
Habari wakuu!
Katika tafakuri zangu nimeona ni vyema Prof. Abdallah Safari agombee kiti cha uenyekiti CHADEMA ktk kuelekea 2015, kupitia fursa hii itawezesha chama ku-overcome propaganda chafu za udini ambazo zimekuwa zikienezwa na mpinzani wa CHADEMA (CCM), kwani hoja nyingi za CCM kuhusu udini zimekuwa ziki-base ktk kunyoshea kidole structure ya uongozi wa juu wa chama kwamba upo kiparokia zaidi.
Pia tukubali tukatae ni kwamba CCM bado inanufaika sana na hii cheap propaganda ya udini na kama CHADEMA haitokubali kuneutralize structure ya uongozi CDM basi tujue kuwa out appearance ni 1 ya fact muhimu sana ktk siasa za nchi yetu.
Kwa CHADEMA: Tusibakie tu na utetezi wa kila siku bali tunatakiwa pia tusiwe conservative kama CUF bali tuendane na hali halisi ya siasa za Tz japokuwa somehow itatucost but ni vyema kwa mustakabali wa chama na ukombozi wa taifa letu.
CHADEMA NI CHAMA CHA KITAIFA
Peoples power!
Na haitajalisha kiongozi ni Mbowe au Professoer Safari au Kamuhanda.
God forbid mkuu RPC Kamuhanda au yupi?
bwanyenye wewe huachi vituko.Una facts nyingi ila zipo mixed.Kwanini usipange mafile yako kwa page na title ili hata wewe uweze elewa?Hapa ndipo power ya unaowadharau ilipo.Wao mistari yao na facts zao zinampangilio,na mfuatano kadiri zilivyokuja,na kwa title zake na chapter pia.Wao kuanzia vitabu vyao,fikra zao zimepangwa vyema.Ndio maana mabwanyenye wanajikuta kila mara wanachungulia indicators za nyuma tuu.Jipange vizuri ili mamabyo uyajuayo yasikuchanganye wewe zaidi.Mtaishia sema wengine hawaelewi kumbe nyinyi ndio hamuelewi.Chama kina wenyewe hicho. Alishindwa na kuzuiwa Zito kabwe ataweza Mtoto wa Jumbe Safari?
Hatuchagui viongozi ku-overcome Propaganda! After all unajua maana ya Propaganda? Maana yake ni Uongo, Fix, Uzandiki nk? Jenga vizuri hoja yako, tunaweza kukuunga mkono lakini kwa mtindo huu hatupo pamoja kamanda.
TUMBIRI (PhD, University of HULL - UK),
tumbiri@jamiiforums.com
Hatuchagui viongozi ku-overcome Propaganda! After all unajua maana ya Propaganda? Maana yake ni Uongo, Fix, Uzandiki nk? Jenga vizuri hoja yako, tunaweza kukuunga mkono lakini kwa mtindo huu hatupo pamoja kamanda.
TUMBIRI (PhD, University of HULL - UK),
tumbiri@jamiiforums.com
Makamu mwenyekiti (Bara)- Said Arfi, Makamu (Zanzibar), Naibu katibu Bara (ZZK) na Naibu Katibu (Zanzibar) wote waislamu na bado mnasema ni uongozi wa Parokia? Siwezi kuelewa na Watanzania hawawezi kuwaelewa