Pendekezo: Prof. Abdallah Safari awe Mwenyekiti CHADEMA

Sidhani kama kuna mtu anapinga Mahakama ya Kadhi,ila tunachopinga ni nani aigharamie Mahakama hiyo?Je ni halali kwa serikali kuigharamia ilhali walipa kodi ni wakristu na waislamu? Je kama Mkristu Mahakama hiyo inamsaidiaje?Kama waislamu wenyewe wanauwezo wa kuigharamia mahakama hiyo wamepewa ruhusa ya kuifungua na kuitumia.
Swala la NECTA sidhani kama linaukweli kwani kuna watoto wakiislamu waliosoma shule za Wakatoliki au Wakristu na wamefaulu vizuri kuliko hata wakristu wenyewe,tatizo ni bidii za watoto wetu kujifunza na kutilia maanani masomo na shule.Makosa mdogomadogo yasifanye tatizo kuwa kubwa sana.Nina historia na kusoma na mabinti kutoka Handeni miaka ya themanini ,mabinti wale walikuwa shule hawaithamini kabisa na wengi walifeli karibu asilimia tisini na tano ya wasichana toka Handeni walifeli,je utawalaumu walimu au NECTA?
Tuwafundishe watoto wetu kujali masomo bila kuangalia udini wao,kwani taifa letu limejengwa na watu waimani tofauti (wakristu,waislamu,wapagani wahindu N.k)

Hata huyo mtoto mkristu leo kesho anaweza akabadili kuwa muislamu na muislamu kuwa Mkiristu,tusiwabague watoto wetu.
Mkuu wangu unajua mnachekesha sana.. Unaposema hakuna mtu anayepinga mahakama ya Kadhi una maana gani ikiwa unatoa masharti? Mbona chombo cha kikristu kama CSSC inaongoza shughuli za ELIMU na AFYA nchini kwa fedha za serikali na siwaoni mkilipinga hilo..Au kwa sababu ni chombo cha kikristu? Hivi kweli ingekuwa chombo hicho ni Bakwata mngekuwa na maamuzi hayo hayo..Swala la NECTA unasema hudhani kama lina Ukweli? halafu unakuja na mahesabu yako wewe. Je, umefanya uchunguzi (utafiti) au unasema tu kwa sababu wanaoweka madai haya hukubalinani nao. Na kwa nini mnaona taabu sana kubadilisha mfumo wa chombo hiki, Je, ktk utetezi huu huoni kama ndio mnazidisha mashaka?.

Ifike mahala Chadema wawe wawazi. Binafsi yangu nimeshawaonyesha mwanga mkubwa sana juu ya mahakama ya Kadhi, OIC, NECTA na MoU humu JF ili wapate hata kutumia baadhi ya hoja na majibu yangu ktk kujitambulisha kwa wananchi na hasa waislaam lakini Chadema wamekuwa wakimya sana. Rejea Hotuba ya Dr.Slaa kule Kilombero ktk uchaguzi wa mwaka 2010 kuna maneno aliyazungumza kule na ndio yakaleta utata mkubwa sana. Hivyo ni muhimu sana kwa Chadema pamoja na umaarufu huu wa Muda wawe WAZI kuhusu maswala muhimu kwa jamii zetu.

Wanawake wamekuwa wakilalamika sana kuhusu huduma ya AFYA, tokea maswala ya mimba, uzazi, watoto, magonjwa ya kike, vitanda, dawa na kadhalika lakini serikali yetu imekuwa ikiwapuuza kwa miaka yote.. Ati majuzi JK amekwenda Marekani na kupewa msaada na chombo cha mtu binafsi anayeghulika na NGOs badala ya serikali yetu wenyewe kuwa na SERA zinazopambana na sheria dume ktk kuwakandamiza wanawake na watoto. Hizi ndizo sehemu Chadema inatakiwa kuzipa kipaumbele ktk utambulisho wa sera zake maana hawa ndio wapiga kura wenyewe..

Chadema kama chama kinatakiwa kuweka sera zake hasa ktk kupambana na adha hizi toka swala la Muungano, Waislaam na wanawake maana huwezi kuijenga jamii yetu pasipo kuondosha Ubinafsi ulokwisha jengeka chini ya CCM kwa kutugawa katika makundi kufikia maendeleo.
 
hoja hii ni mfu! mufilisi. yaani hujui kuwa propaganda hiyo ilianza kitambo na haifui dafu?
 
Habari wakuu!

Katika tafakuri zangu nimeona ni vyema Prof. Abdallah Safari agombee kiti cha uenyekiti CHADEMA ktk kuelekea 2015, kupitia fursa hii itawezesha chama ku-overcome propaganda chafu za udini ambazo zimekuwa zikienezwa na mpinzani wa CHADEMA (CCM), kwani hoja nyingi za CCM kuhusu udini zimekuwa ziki-base ktk kunyoshea kidole structure ya uongozi wa juu wa chama kwamba upo kiparokia zaidi.

Pia tukubali tukatae ni kwamba CCM bado inanufaika sana na hii cheap propaganda ya udini na kama CHADEMA haitokubali kuneutralize structure ya uongozi CDM basi tujue kuwa out appearance ni 1 ya fact muhimu sana ktk siasa za nchi yetu.

Kwa CHADEMA: Tusibakie tu na utetezi wa kila siku bali tunatakiwa pia tusiwe conservative kama CUF bali tuendane na hali halisi ya siasa za Tz japokuwa somehow itatucost but ni vyema kwa mustakabali wa chama na ukombozi wa taifa letu.

CHADEMA NI CHAMA CHA KITAIFA

Peoples power!

Ni wazo zuri,
Hata hivyo kwamba CHADEMA ni chama cha kidini, ni propaganda tu za CCM. Angalia viongozi wakuu wa kitaifa wa chadema wako 6, Wanne ni waislam na wawili tu ndio wakristo.
Angalia TOVUTI ya CHADEMA

Viongozi wa Kitaifa

Mwenyekiti
Mhe. Freeman Aikaeli Mbowe (51)
Kutoka Hai, Kilimanjaro
freeman@chadema.or.tz

Makamu Mwenyekiti Bara
Mhe. Said Amour Arfi (57)
Kutoka Mpanda, Rukwa
saidarfi@chadema.or.tz

Makamu Mwenyekiti Zanzibar
Mhe. Said Issa Mohammed (37)
Kutoka Pemba

Katibu Mkuu
Mhe. Willibrod Peter Slaa (63)
Kutoka Karatu, Arusha
slaa@chadema.or.tz

Naibu Katibu Mkuu - Bara
Mhe. Zitto Zuberi Kabwe (36)
Kutoka Mwandiga, Kigoma Kaskazini
zitto@chadema.or.tz

Naibu Katibu Mkuu - Zanzibar
Mhe. Hamad Mussa Yussuf (34)
Kutoka Kaskazini Pemba
hamad@chadema.or.tz
 
Ni uenda wazimu kuendelea kusema kuwa chadema ni chama cha wakristo au wakaskazini
 
Promi Demana na Wana JF,
Mchango wako ni Mzuri ila Hoja zako bado sio za Msingi,
Kwenye Uongozi vitu vinavyoangaliwa sio Kufurahisha Watu fulani ila Kikubwa ni Uwezo, Sifa na Maadili ya Mtu.
Kama anafiti kwenye Vyote hivyo hatuna shaka na wasi wasi.
Nwakilisha.

Habari wakuu!

Katika tafakuri zangu nimeona ni vyema Prof. Abdallah Safari agombee kiti cha uenyekiti CHADEMA ktk kuelekea 2015, kupitia fursa hii itawezesha chama ku-overcome propaganda chafu za udini ambazo zimekuwa zikienezwa na mpinzani wa CHADEMA (CCM), kwani hoja nyingi za CCM kuhusu udini zimekuwa ziki-base ktk kunyoshea kidole structure ya uongozi wa juu wa chama kwamba upo kiparokia zaidi.

Pia tukubali tukatae ni kwamba CCM bado inanufaika sana na hii cheap propaganda ya udini na kama CHADEMA haitokubali kuneutralize structure ya uongozi CDM basi tujue kuwa out appearance ni 1 ya fact muhimu sana ktk siasa za nchi yetu.

Kwa CHADEMA: Tusibakie tu na utetezi wa kila siku bali tunatakiwa pia tusiwe conservative kama CUF bali tuendane na hali halisi ya siasa za Tz japokuwa somehow itatucost but ni vyema kwa mustakabali wa chama na ukombozi wa taifa letu.

CHADEMA NI CHAMA CHA KITAIFA

Peoples power!
 
haitawahi kutokea CDM kuja kuwa na mwenyekiti mwenye jina la kiislam ...

UDINI BADO UNAKISUMBUA HIKI CHAMA! NA WANAOGOPA MISAADA YA PESA WANAYOPATA TOKA CDU NDIO ITAKUWA MWISHO ...

LABDA CDM COPY YA MCHINA NDIO ITAFANYA HAYO ULIYO SUGGEST
 
Mkuu nina wasiwasi sana na uelewa wako so kwa kuwa kuna Propoganda za kwamba uongozi wa juu wa Chadema kwa hiyo wachague kiongozi ambaye ni Muislamu!!!!hahahahaha mkuu hebu kajipange au rekebisha hii habari yako then uje tena ku apili sasa kama Chadema watamuweka Professor Safari sasa huoni hapo moja kwa moja watakuwa wamechagua kiongozi kutokana na udini???Kwanza elewa maana ya PROPOGANDA then ndio uje na uzi mwingine bila ya hivyo hatuwezi changia Utumbo huu.
 
maoni mazuri lakini yangelenga zaidi kumshauri mwenye chama mzee mtei kwani ndie mwenye maamuzi ya mwisho.msije mkamshika pabaya akaanza kuwaita watu majina ya ajabu kama wakuja n.k

mkuu maneno yako ya busara sana....

prof.safari ni msomi, mwanaharakati na mwanasiasa mtulivu na mwenye kuendesha mambo yake kisomi na kitaalum. kwa hiyo naona ana kila aina ya sifa ya kuwa kiongozi bora katika ngazi yoyote ndani ya chadema. aingie kwenye mchakato wa kupataridhaa ya uuongozi wa chama.
 
Hivyo vyeo ulivyovitaja ni kama Makamu wa Rais, Title kubwaaa lakini kazi ni kukata utepe tu kwenye ufunguzi wa miradi ya serikali!
Kamati Kuu ndio yenye maamuzi na hao wote kwa vyeo vyao ni wajumbe wa kamati Kuu. Ukiongeza Prof Safari na Shida Salum wanakuwa wangapi kamati Kuu?
 
Habari wakuu!

Katika tafakuri zangu nimeona ni vyema Prof. Abdallah Safari agombee kiti cha uenyekiti CHADEMA ktk kuelekea 2015, kupitia fursa hii itawezesha chama ku-overcome propaganda chafu za udini ambazo zimekuwa zikienezwa na mpinzani wa CHADEMA (CCM), kwani hoja nyingi za CCM kuhusu udini zimekuwa ziki-base ktk kunyoshea kidole structure ya uongozi wa juu wa chama kwamba upo kiparokia zaidi.

Pia tukubali tukatae ni kwamba CCM bado inanufaika sana na hii cheap propaganda ya udini na kama CHADEMA haitokubali kuneutralize structure ya uongozi CDM basi tujue kuwa out appearance ni 1 ya fact muhimu sana ktk siasa za nchi yetu.

Kwa CHADEMA: Tusibakie tu na utetezi wa kila siku bali tunatakiwa pia tusiwe conservative kama CUF bali tuendane na hali halisi ya siasa za Tz japokuwa somehow itatucost but ni vyema kwa mustakabali wa chama na ukombozi wa taifa letu.

CHADEMA NI CHAMA CHA KITAIFA

Peoples power!

Mara nyingine jaribuni kuficha hivi vyeti vyenu vya KATA SCHOOLS. Propaganda hazijibiwi kwa kufanya vile critics wanavyosema.

CHADEMA haifanyi mambo kumridhisha critic, badala yake itaendelea kufuata misingi ya demokrasia. Leo unavyoongea utumbo wako, ina maana unamlazimisha Prof.Safari kuchukua majukumu ambayo mwenyewe hajayaomba na unawalazimisha Watanzania (wapenda mageuzi) kuchagua kiongozi kwa minajili ya kubalansisha jambo la kipuuzi linalosemwa na critics ambao hata baada ya kufanya hivyo hawataacha kusema kwamba jambo hilo limefanywa kama kiini macho tu.

Mawazo yako hayana tofauti na uamuzi wa magamba wa kuweka wanawake kwenye post muhimu hata kama hawana sifa, ili mradi tu kuonesha kuwa inawajali wanawake.

That will be very pathetic and foolish.

Angalia likes ulizopata zimetoka kwa wale wale wenye kueneza udini.
 
Sidhani kama kuna mtu anapinga Mahakama ya Kadhi,ila tunachopinga ni nani aigharamie Mahakama hiyo?Je ni halali kwa serikali kuigharamia ilhali walipa kodi ni wakristu na waislamu? Je kama Mkristu Mahakama hiyo inamsaidiaje?Kama waislamu wenyewe wanauwezo wa kuigharamia mahakama hiyo wamepewa ruhusa ya kuifungua na kuitumia.
Swala la NECTA sidhani kama linaukweli kwani kuna watoto wakiislamu waliosoma shule za Wakatoliki au Wakristu na wamefaulu vizuri kuliko hata wakristu wenyewe,tatizo ni bidii za watoto wetu kujifunza na kutilia maanani masomo na shule.Makosa mdogomadogo yasifanye tatizo kuwa kubwa sana.Nina historia na kusoma na mabinti kutoka Handeni miaka ya themanini ,mabinti wale walikuwa shule hawaithamini kabisa na wengi walifeli karibu asilimia tisini na tano ya wasichana toka Handeni walifeli,je utawalaumu walimu au NECTA?
Tuwafundishe watoto wetu kujali masomo bila kuangalia udini wao,kwani taifa letu limejengwa na watu waimani tofauti (wakristu,waislamu,wapagani wahindu N.k)

Hata huyo mtoto mkristu leo kesho anaweza akabadili kuwa muislamu na muislamu kuwa Mkiristu,tusiwabague watoto wetu.

hizi hoja peleka BAKWATA.
 
promidemana kwani amekutuma? Kama unamuona anafaa sana anzisha chama chako umpe uenyekiti na kama huna chama basi muite awe mwenyekiti wa familia yenu. Mawazo mwengi ni mfu ingawa wanaoyatoa wako hai. We umeona safari ndiyo muarobaini wa siasa? Mbona mwenyekiti wa chama anachaguliwa na wanachama na si kutokana na upuuzi kama huu wako. Shame on you!
nyote akili yenu ni sawa maana kinchowasumbua ni nikilekile "cosmetic and romantic politics"
 
njiwa yaani huwa nacheka sana kuona watu wanaleta propaganda juu ya propaganda...nani asiejuwa kuwa CDM kuna ajenda ya siri??? wakawadanganye makazuzu

haitawahi kutokea CDM kuja kuwa na mwenyekiti mwenye jina la kiislam ...

UDINI BADO UNAKISUMBUA HIKI CHAMA! NA WANAOGOPA MISAADA YA PESA WANAYOPATA TOKA CDU NDIO ITAKUWA MWISHO ...

LABDA CDM COPY YA MCHINA NDIO ITAFANYA HAYO ULIYO SUGGEST
 
Last edited by a moderator:
Mkuu yaani unafikili Propaganda haziwezi kubadilisha misimamo ya RAIA kuhusu jambo fulani? Nakushauri ukipata wasaa pitia historia inayo husu Third Reich specifically one Dr. Joseph Goebbels a propaganda Minister wa Hitler.

You can fool all the people some time. You can fool some people all the time but you can't fool all the people all the time - By Dr M.D Baisi (UDSM).

TUMBIRI (PhD In Progress at HULL, CPA(T), MBA(UDSM), B.com(UDSM), PCM(Mzumbe High School - 2[SUP]nd [/SUP]Overall Best Student in Form Six National Exams),
tumbiri@jamiiforums.com

Nakala: POMPO, Mwita Maranya, Mungi, Kimbunga, Crashwise, Mzee Mwanakijiji, Candid Scope, JB WISER, Molemo, nk
 
prof safari ana msimamo mkali mno wa dini yake, anatisha mno, si mtu wa amani. naomba niishie hapa nisijepigwa ban.
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom